Cheki hapa Mubashara Wayne Rooney na kikosi cha Everton walivotua Dar

Cheki hapa Mubashara Wayne Rooney na kikosi cha Everton walivotua Dar

Huko Mbeya watoto watakaozaliwa leo, utasikia wanaitwa Mwakarooney!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]

Nokia Jeneza
 
Stive minyenyeri yuko wapi mzee wa fursa?

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Mpka sas hivi kwa upande wangu umenifurahisha sana kwa kumuachia Waziri husikia kushughulika na hawa macho bluu Everton, na ningefarijika zaidi kama ukiendelea na likizo yako na usiikatize kwa ajili ya kuonana nao, Waziri wetu wa Michezo na Sanaa Mwakyembe anatosha, hivi ndivyo inavyopaswa kuendeshwa kwa maoni yangu, ...
 
Ehee......

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini wachezee Tz sio Kenya? Nauliza tu! Hhaahhhh MK254 etc macho yamewatoka kumeza ngumu. Karibuni wageni wetu mjionee Tz yetu. Mchezo mwema!
 
Nina.maana kwamba wewe umesikia kwamba Mhe.Rais ana mpango wa kukatisha likizo ya kuja kuangalia Everton?

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app


Uzoefu umenionyesha hivyo kwamba Maraisi wetu wa huko nyuma walikuwa wanafanya hivyo!
 
Hata Hivyo nimekasirishwa sana Kwani ameenda Waziri Wa Michezo?

Angeenda Balozi wao Sarah Cooke
 
Lowasa akampokee ampe na mtaa kabisa

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom