Cheki hapa Mubashara Wayne Rooney na kikosi cha Everton walivotua Dar

Cheki hapa Mubashara Wayne Rooney na kikosi cha Everton walivotua Dar

Ilikuwa nafasi ya nape hii kumpokea Rooney ila bashite ndo kasababisha yote haya.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Mliomdanganya Nape ni nyie nyie wabongo kupitia whatsapp.
 
siamini hili kuwa waziri wangu pamoja na majukumu makubwa tuliyompa watanzania,anapata muda wa kwenda kumpokea mchezaji wa soka ?Tanzania nchi ya vituko imenikumbusha alivyokuja mwanamziki Michael Jackson(RIP) pale airport alipokelewa na mawaziri zaidi ya wawili,again history imejirudia,kwangu mimi viongozi wa chama cha mpira ndio wajibu wao sio waziri
Heheee.. Tz ya viwonder ina safari ndefu. Kwanza Everton ni timu kubwa na inashiriki katika moja ya ligi bora duniani. Wamekuja Tz unataka wapokelewe na watuhumiwa halafu anaitwa Rais wa shirikisho la mpira.? Broo uwepo wa waziri katika ugeni kama huu ni heshima kubwa sana kwao hivyo itawa motivate hata wengine kufuatilia ugeni huu.

Fikiri kwa mapana kiongozi
 
ahsante pasm,nilitegemea hii timu ipokelewe pale airport na walioileta na viongozi wa chama chetu cha mpira,then kama kweli ni muhimu wapelekwe kumtembelea waziri ofisini kwake not other way round mkuu,
 
Mkuu punguza cha Arusha breaking news gani wakati habari ipo humu kitambo tu?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jamaaa kakolea cha arusha

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
siamini hili kuwa waziri wangu pamoja na majukumu makubwa tuliyompa watanzania,anapata muda wa kwenda kumpokea mchezaji wa soka ?Tanzania nchi ya vituko imenikumbusha alivyokuja mwanamziki Michael Jackson(RIP) pale airport alipokelewa na mawaziri zaidi ya wawili,again history imejirudia,kwangu mimi viongozi wa chama cha mpira ndio wajibu wao sio waziri
Povu!
 
Hawa wjaluo kutoka
Kenya watalimwa gol 10
Kwa mtungi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Huyo mtangazaji angekaa kimya tu akaacha kelele za ndege na upepo ingependeza zaidi.
 
Asingeenda mngesema Tanzania hatupromote utalii!Ameenda mnasema ni kiki!

Haters!!
Ni vyema alivyoenda. Ila sasa hivi vyeo vingine viendane na mtu/hulka... No offence ila wizara hii inahitaji mtu wa kuendana na hizo shughuli. Hii mambo mara come back ya Saida Karoli (show za usiku), mara Ujio wa Rooney, vinamchosha tu baba wa watu.
 
Mleta mada unasema Rooney ni mchezaji mwenye mvuto zaidi duniani?
Una uhakika na unachokisema lakini?

zama za Rooney zimekwisha,amerudi alipotoka!!
 
Back
Top Bottom