Umba Tuku
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 2,101
- 1,271
Kwani Rooney kaja peke ake hakuongozana na msafara wa Everton.?
hahahahahahaha jamaa anajulikana kuliko tanzania inavyojulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Rooney kaja peke ake hakuongozana na msafara wa Everton.?
Mliomdanganya Nape ni nyie nyie wabongo kupitia whatsapp.Ilikuwa nafasi ya nape hii kumpokea Rooney ila bashite ndo kasababisha yote haya.
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Wakiiweka tutaing'oaaa shenzy typuNaanza kuiona rooney Street so mda
Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
Hamorapa wa kyelaHuyu jamaa kwa kutafuta kiki hashikiki asee
Heheee.. Tz ya viwonder ina safari ndefu. Kwanza Everton ni timu kubwa na inashiriki katika moja ya ligi bora duniani. Wamekuja Tz unataka wapokelewe na watuhumiwa halafu anaitwa Rais wa shirikisho la mpira.? Broo uwepo wa waziri katika ugeni kama huu ni heshima kubwa sana kwao hivyo itawa motivate hata wengine kufuatilia ugeni huu.siamini hili kuwa waziri wangu pamoja na majukumu makubwa tuliyompa watanzania,anapata muda wa kwenda kumpokea mchezaji wa soka ?Tanzania nchi ya vituko imenikumbusha alivyokuja mwanamziki Michael Jackson(RIP) pale airport alipokelewa na mawaziri zaidi ya wawili,again history imejirudia,kwangu mimi viongozi wa chama cha mpira ndio wajibu wao sio waziri
Bavicha watakuja na povu kisa mwakyembe!Naona waziri Mwakyembe amejitokeza kumlaki Mwanamichezo Wyane Rooney.ambaye ni mwanasoka wa Timu ya everton iliyopo nchini kwa ziara ya maandalizi ya ligi ya uingereza.
View attachment 540181
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu punguza cha Arusha breaking news gani wakati habari ipo humu kitambo tu?
Povu!siamini hili kuwa waziri wangu pamoja na majukumu makubwa tuliyompa watanzania,anapata muda wa kwenda kumpokea mchezaji wa soka ?Tanzania nchi ya vituko imenikumbusha alivyokuja mwanamziki Michael Jackson(RIP) pale airport alipokelewa na mawaziri zaidi ya wawili,again history imejirudia,kwangu mimi viongozi wa chama cha mpira ndio wajibu wao sio waziri
C utulie uandike vzr kwankiingilia bei gani?
Kweli,mbuga za akina madamWasiachwe waondoke, bila kufanya utalii wa mbuga zetu
Ikitolewa na kiongozi wa Serikali kutoka upande wa CCM nabashiri bango halitang'olewaNaanza kuiona rooney Street so mda
Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
Ni vyema alivyoenda. Ila sasa hivi vyeo vingine viendane na mtu/hulka... No offence ila wizara hii inahitaji mtu wa kuendana na hizo shughuli. Hii mambo mara come back ya Saida Karoli (show za usiku), mara Ujio wa Rooney, vinamchosha tu baba wa watu.Asingeenda mngesema Tanzania hatupromote utalii!Ameenda mnasema ni kiki!
Haters!!