Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema. Iyo picha tu inaongeaRegardless, Harmonize ampe heshima yake Diamond. Alimpenda akamuamini na kumpa nafasi.
Kukosana kupo tu ila asimvunjie heshima.
Yaani inaongea mengi sanapicha hii inahukumu mambo mengi kati ya Mondi na Konde.
Mbona hajamvunjia heshima msnhkaji yuko poa sana hana shida. Halaf haijalish umemsaidia mtu, ukivuka mipaka lazima upasuliwe tuu. Yeye pia kamuingizia pesa nying sanaaa hakukua na free lunch paleRegardless, Harmonize ampe heshima yake Diamond. Alimpenda akamuamini na kumpa nafasi.
Kukosana kupo tu ila asimvunjie heshima.
Hivi umeelewa hata nilichoandika kweli? Kuna nilikosema amemvunjia heshima hapo?Mbona hajamvunjia heshima msnhkaji yuko poa sana hana shida. Halaf haijalish umemsaidia mtu, ukivuka mipaka lazima upasuliwe tuu. Yeye pia kamuingizia pesa nying sanaaa hakukua na free lunch pale
Ulipianza na neno "Regardless".Hivi umeelewa hata nilichoandika kweli? Kuna nilikosema amemvunjia heshima hapo?
Hakuna kiashiria chochote cha kuvunjiwa heshima hapo, na pia ungezingatia tense.Ulipianza na neno "Regardless".
Ukafuatia na neno "Ampe heshima yake" what donu think these words insists on ? Au ni kwa sisi tu tuliozingatia sana somo la uundaji wa sentensi kwenye kiswahil na kingereza .?
Hata Diamond amewah kumvunjia heshima bwana mdogoHakuna kiashiria chochote cha kuvunjiwa heshima hapo, na pia ungezingatia tense.
Kiufupi sijamaanisha kama Harmonize amewahi kumvunjia heshima Diamond, bali ampe heshima anayostahili kutoka kwake.
Na ukitaka niseme ukweli ni kwamba Harmonize amewahi kumvunjia heshima Diamond, mara nyingi tu.
Unajua hata wazazi huwa wanatukosea mara nyingi, ila tunajikaza hatuwezi kujibu mapigo simply kwa kuwa wale ni wazazi.
SawaHata Diamond amewah kumvunjia heshima bwana mdogo
Regardless, Harmonize ampe heshima yake Diamond. Alimpenda akamuamini na kumpa nafasi.
Kukosana kupo tu ila asimvunjie heshima.
Diamond alitakiwa pia ampe heshima yake marehemu Ruge mutahaba.Regardless, Harmonize ampe heshima yake Diamond. Alimpenda akamuamini na kumpa nafasi.
Kukosana kupo tu ila asimvunjie heshima.
Nifah Tubu aisee, shauri yako.Tubuni ndugu zangu, waislamu mnaoshabikia huu upuuzi tubuni kwa Mwenyezi Mungu, na muache kabisa kufuatilia huu upuuzi usio na maana yoyote zaidi kukupeleka pabaya na kujuta.
Sisi wakubwa tumekuelewa sana tu But nikwambie kitu,Hakuna kiashiria chochote cha kuvunjiwa heshima hapo, na pia ungezingatia tense.
Kiufupi sijamaanisha kama Harmonize amewahi kumvunjia heshima Diamond, bali ampe heshima anayostahili kutoka kwake.
Na ukitaka niseme ukweli ni kwamba Harmonize amewahi kumvunjia heshima Diamond, mara nyingi tu.
Unajua hata wazazi huwa wanatukosea mara nyingi, ila tunajikaza hatuwezi kujibu mapigo simply kwa kuwa wale ni wazazi.
Nifah Tubu aisee, shauri yako.
wengine waislamu majina tu ,,,,...usiumize kichwa
Kama sikosei Waislamu ni wengi wanaojihusisha na miziki na maigizo hapa tz, mfano ni hao aliowataja mleta mada n.k.
Mtu anatafuta umaarufu/pesa kupitia ujahili, alichokiharamisha Mwenyezi Mungu, na Wanajua hili ni haram, na wanaowafuatilia pia wanajua hili ni haram, ila kibri imewajaa.
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا تُوبُوا إِلَى اللَّهِ تَوْبَةً نَصُوحًا عَسَىٰ رَبُّكُمْ أَنْ يُكَفِّرَ عَنْكُمْ سَيِّئَاتِكُمْ وَيُدْخِلَكُمْ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ يَوْمَ لَا يُخْزِي اللَّهُ النَّبِيَّ وَالَّذِينَ آمَنُوا مَعَهُ ۖ نُورُهُمْ يَسْعَىٰ بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَبِأَيْمَانِهِمْ يَقُولُونَ رَبَّنَا أَتْمِمْ لَنَا نُورَنَا وَاغْفِرْ لَنَا ۖ إِنَّكَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ
At-Tahrim(The Prohibition)
Enyi mlio amini! Tubuni kwa Mwenyezi Mungu toba iliyo ya kweli! Asaa Mola wenu Mlezi akakufutieni maovu yenu na akakuingizeni katika Pepo zipitazo mito kati yake, siku ambayo Mwenyezi Mungu hatamdhalilisha Nabii na walio amini pamoja naye. Nuru yao inakwenda mbele yao na pande zao za kulia, na huku wanasema: Mola wetu Mlezi! Tutimilizie nuru yetu, na utughufirie! Hakika Wewe ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.