Cheki machawa wa Diamond walivyo"mnyali" Harmonize siku ya kwanza alipofika WCB.

Regardless, Harmonize ampe heshima yake Diamond. Alimpenda akamuamini na kumpa nafasi.

Kukosana kupo tu ila asimvunjie heshima.
Mbona hajamvunjia heshima msnhkaji yuko poa sana hana shida. Halaf haijalish umemsaidia mtu, ukivuka mipaka lazima upasuliwe tuu. Yeye pia kamuingizia pesa nying sanaaa hakukua na free lunch pale
 
Mbona hajamvunjia heshima msnhkaji yuko poa sana hana shida. Halaf haijalish umemsaidia mtu, ukivuka mipaka lazima upasuliwe tuu. Yeye pia kamuingizia pesa nying sanaaa hakukua na free lunch pale
Hivi umeelewa hata nilichoandika kweli? Kuna nilikosema amemvunjia heshima hapo?
 
Hivi umeelewa hata nilichoandika kweli? Kuna nilikosema amemvunjia heshima hapo?
Ulipianza na neno "Regardless".
Ukafuatia na neno "Ampe heshima yake" what donu think these words insists on ? Au ni kwa sisi tu tuliozingatia sana somo la uundaji wa sentensi kwenye kiswahil na kingereza .?
 
Ulipianza na neno "Regardless".
Ukafuatia na neno "Ampe heshima yake" what donu think these words insists on ? Au ni kwa sisi tu tuliozingatia sana somo la uundaji wa sentensi kwenye kiswahil na kingereza .?
Hakuna kiashiria chochote cha kuvunjiwa heshima hapo, na pia ungezingatia tense.

Kiufupi sijamaanisha kama Harmonize amewahi kumvunjia heshima Diamond, bali ampe heshima anayostahili kutoka kwake.

Na ukitaka niseme ukweli ni kwamba Harmonize amewahi kumvunjia heshima Diamond, mara nyingi tu.
Unajua hata wazazi huwa wanatukosea mara nyingi, ila tunajikaza hatuwezi kujibu mapigo simply kwa kuwa wale ni wazazi.
 
Hata Diamond amewah kumvunjia heshima bwana mdogo
 
Sisi wakubwa tumekuelewa sana tu But nikwambie kitu,
Kumsaidia mtu hakufanyi uliyemsaidia awe mtumwa kwako au akuheshimu kisa ulimsaidia,
Hakuna Binadamu ambae hajawahi kusaidiwa,binadamu tunaishi kwa kutegemeana,hata Diamond nae alisaidiwa pia mpaka akafika hapo,

Riziki ya mtu ipo kwa mtu,sometimes Mungu humtumia binadamu mwenzako anapotaka kukusaidia jambo,

Mwisho,binadamu kuheshimiana ilitakiwa iwe ni jambo ambalo halihitaji sababu,huhitaji sababu ili umuheshimu binadamu mwenzako,you respect somebody for who they are,even when they're different from you or you don't agree with them.
 
Nifah Tubu aisee, shauri yako.


Kama sikosei Waislamu ni wengi wanaojihusisha na miziki na maigizo hapa tz, mfano ni hao aliowataja mleta mada n.k.

Mtu anatafuta umaarufu/pesa kupitia ujahili, alichokiharamisha Mwenyezi Mungu, na Wanajua hili ni haram, na wanaowafuatilia pia wanajua hili ni haram, ila kibri imewajaa.

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا تُوبُوا إِلَى اللَّهِ تَوْبَةً نَصُوحًا عَسَىٰ رَبُّكُمْ أَنْ يُكَفِّرَ عَنْكُمْ سَيِّئَاتِكُمْ وَيُدْخِلَكُمْ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ يَوْمَ لَا يُخْزِي اللَّهُ النَّبِيَّ وَالَّذِينَ آمَنُوا مَعَهُ ۖ نُورُهُمْ يَسْعَىٰ بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَبِأَيْمَانِهِمْ يَقُولُونَ رَبَّنَا أَتْمِمْ لَنَا نُورَنَا وَاغْفِرْ لَنَا ۖ إِنَّكَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ
At-Tahrim(The Prohibition)
Enyi mlio amini! Tubuni kwa Mwenyezi Mungu toba iliyo ya kweli! Asaa Mola wenu Mlezi akakufutieni maovu yenu na akakuingizeni katika Pepo zipitazo mito kati yake, siku ambayo Mwenyezi Mungu hatamdhalilisha Nabii na walio amini pamoja naye. Nuru yao inakwenda mbele yao na pande zao za kulia, na huku wanasema: Mola wetu Mlezi! Tutimilizie nuru yetu, na utughufirie! Hakika Wewe ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.
 
wengine waislamu majina tu ,,,,...usiumize kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…