Cheki Masanja anavyohaha, kweli kutunza mke si mchezo!

Nasikitika kwamba wewe ndio hujamuelewa Masanja, wengi pia hawajamuelewa. Think twice, twice again, kama hujaelewa bado njoo kuna semina ya kukusaidia kuelewa.
 
Jamani , nabaki nasikitika tu . Fanyia kazi Uelewa wako
 
Bora umesema , kuna watu ****** sijapata ona . Uelewa wa mleta post ni negative kabisa i mean below zero .
Nimekuombe kwa Mungu maneno haya, "Eeeh Baba wasamehe kwa kuwa hawajui wanachokiongea'... Unajua ukiwa mwana saikolojia una kuwa na uwezo wa kuona picha au hisia ambazo watu wengine hawazioni... Kuna kitu ambacho kimefichika ambacho Masanja anakimaanisha kwenye ujumbe wake, ila key lazer kama wewe huwezi kukiona moja kwa moja...
 
Mbona hapa anafanya utani tu kua kuna semina ya kutunza fedha lakini semina yenyewe inalipiwa tena.yaani mbona kitu kinaeleweka hapa hata kwa mtoto wa darasa la 4. Pipoz bhana
 
Unajua mtu anaenuka , watu waliokaribu yake wanahisi harufu mbaya , kunuka kwa huyo mtu . Ila huyo mtu yeye anaona wala hanuki . Wewe ndo huyo mtu anaenuka harufu mbaya .
 
ILE TAFITI NILUIYOIONA JANA KUWA WATANZNIA TUNAONGOZA KWA UNAFIKI NAONA IMEANZA KUTIMIA YANI MTU ANAKAZI YA KUFUATILIA MAISHA YA MASANJA ALAFU ALICHOKIANDIKA MASANJA HAINYOSHI KAMA AMEFULIA BALI NJIA YA KUJIPATIA FEDHA WEWE UTAPONDA NAKUONA KWELI HANA ELIMU YA MASUALA YA FEDHA LAKIN ANAFEDHA ZA KUMTOSHA YEYE NA HATA KUKULEA WEWE AMBAYE HUENDA UKAWA NA ELIMU YA FEDHA NA HAUNA FEDHA ZA KUJITOSHELEZA AU FEDHA AMBAZO HADI JAMII IKATAMBUA UNAFEDHA YEYE ANATAKA KUTOA ELIMU YA JINSI GANI ALITUNZA FEDHA ZAKE HADI ZIKAMPA UTAJIRI NA KWA VILE TAYARI ANAJINA KUBWA HATAKOSA WATU
[HASHTAG]#KUPATA[/HASHTAG] [HASHTAG]#ELIMU[/HASHTAG] [HASHTAG]#SIYO[/HASHTAG] KUWA TAJIRI BALI ELIMU ITAKUSAIDIA NAMNA YA KUWA TAJIRI ILA KWA SHARTI TU LA UTAYRI
 
Mkuu ni uungwana kukubali umechemka, wote huwa tunakosea kama wewe leo. Hebu jiulize kwenye hio post Masanja aite watu kwenye semina kwa 100,000 halafu anamalizia tangazo kwa kuwaambia WASIHUDHURIE does it make any sense to you?
 
Mtoa mada unaakili ndogo sana kwa Masanja! Hujaelewa anamaanisha nini unakurupuka kuanzisha thread kumponda kuwa kafuria!!
 
CCM hawamkumbuki kabisa maana kampeni alipiga ya kufa mtu
 
Ameongea kwa utani bwana,anamaanisha kwamba kama unajua kutunza fedha huna haja ya kuhudhuria vitu vinavyokumalizia pesa
 
Mtoa mada unaakili ndogo sana kwa Masanja! Hujaelewa anamaanisha nini unakurupuka kuanzisha thread kumponda kuwa kafuria!!
Nimekutafutia jibu la kukupa ila sijalipata. Ngoja ni kae kimya tu... Nimeona jibu ntakalokupa sio la size yako, yan ni sawa na mtu kakupiga ngumi alafu we unampiga risasi... Ni uonevu utakuwa...
 
Omba tu kwa Mods waifute hii post yako maana aibu kubwa sana hii.
Hujaelewa kabisa
 
Mkuu Kodofan mi naona kama anajoke hapo na kusema kuwa kama unalipishwa pesa kwenda kwenye semina ya jinsi ya kutengeneza pesa basi uwe na akili usiende. Wapi ametangaza semina, au umeamua kumchamba tu masanja leo?
exactly
 
Mtoa mada unaamini kuwa mtu anaweza kupost semina bila ya posters?, kwanza rudia kusoma japo mara kumi unaeza kuelewa kama Mimi nilioelewa kwa Mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…