dreamchaser18
Member
- May 21, 2014
- 88
- 36
MTU anashindwa kuelewa vitu rahisi story na attachment haviendani kabisa....Hii ni hatari kwa taifa la viwanda tuliloadiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo vizurii sana aisee agiza soda uko ulipo ujipongezeeMkuu ni hivi Masanja anawaponda wale wanaotoa semina za kutunza pesa. Kwenye semina kama hizo unaambiwa uchangie 100,000 au 500,000......sasa somo zuri na la kwanza kuhusu kutunza pesa ni USIENDE KWENYE HIO SEMINA KWANI USIPOENDA UTAKUWA UMETUNZA HIO 100,000 au 500,000! Na si kwamba Masanja anatoa hayo mafunzo.
Dah napenda sana wadada wa namna yako uko makini sanaMkuu Kodofan mi naona kama anajoke hapo na kusema kuwa kama unalipishwa pesa kwenda kwenye semina ya jinsi ya kutengeneza pesa basi uwe na akili usiende. Wapi ametangaza semina, au umeamua kumchamba tu masanja leo?
chuki itakuua rafikiView attachment 430860
Wala sio jockes, deep down anapima upepo. Akiona watu wengi wanamshobokea ndio analeta semina, ila akiona watu hawamshobokei ndio anajifanya eti ilikuwa jockes...
Si unakumbuka alifungua kakibanda ka kuuza ubwabwa kule Tabata afu kakabuma? Sasa kukafunga anaona aibu na kukaendeleza anaona hasara. Kabaki njia panda.
Magufuli keshasema wapiga dili wote kwishney....
mtanzania halisi na roho tako asili kabisa maana mnapenda sana maanguko ya wenzenu ili wawe broke kama nyieMasanja huyu huyu aliyekuwa akiwacheka wenzake kuwa wamefulia, sijui wameloweka, hivi karibuni ameonekana 'akihaha' kutafuta pesa kwa udi na uvumba!
Huyu si ndo alikuwa anawachapa vijana viboko pale Jangwani ati kwa nini hawaoi? Unadhani kuoa ni swala la mchezo mchezo eeh? Sasa hivi vibiashara vya kupigia pesa 'unrealistically' vinaonesha zaidi kuwa akaunti ya Masanja imesinyaaa na huenda akafulia na kuuza Bima siku si nyingi 😀😀😀.
Embu ona hapa amelala na mke wake sijui ndio wameshauriana waje na hiki kiseminia? Eti semina juu ya kutunza pesa, tangu lini Masanja akawa na elimu ya kutosha ya mambo ya Finance kiasi cha kuwakalisha watu semina na kuwalipisha laki? Si bora tumchukue prof Lipumba aje atoe semina kama hiii?
Kweli maisha ni safari ndefu, unaweza ukawacheka wenzako kwa vile hujui ya kesho.
View attachment 430837
Na wewe kwanini usiuze kama unadhani kuuza ngada ni jambo rahisiHuyu dogo bila ngada asingefika hapo
Na ataporomoka kwa kasi Kama kakanyaga ganda la ndizi
Angekua karibu yangu ningempiga bonge ya konzi.Mtoa mada bahati yako upo mbali
Mkuu na wewe umeingizwa chaka na mleta mada aisee.kuigiza kumemshinda, kilimo kimemshinda, kanisa limemshinda, sembe imemshinda sasa ameamua kuwa tapeli.
Mkuu umejuaje kuwa hana mipaka ya utani akiwa chumbani na mkewe?Ila huyu Masanja, hata akikaribia kupiga goli, mkewe atajua ni utani tu, sbb hajaenda shule kabisa najua hajui mipaka ya comedy na personal life kabisa, but alipo kimaisha kajitahidi with respect to his background life status