tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,196
Mleta mada ni key lazest
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 430860
Wala sio jockes, deep down anapima upepo. Akiona watu wengi wanamshobokea ndio analeta semina, ila akiona watu hawamshobokei ndio anajifanya eti ilikuwa jockes...
Si unakumbuka alifungua kakibanda ka kuuza ubwabwa kule Tabata afu kakabuma? Sasa kukafunga anaona aibu na kukaendeleza anaona hasara. Kabaki njia panda.
Magufuli keshasema wapiga dili wote kwishney....
we ni bora urudi shule tu kama umeshindwa kuelewa alichopost hapo MasanjaMasanja huyu huyu aliyekuwa akiwacheka wenzake kuwa wamefulia, sijui wameloweka, hivi karibuni ameonekana 'akihaha' kutafuta pesa kwa udi na uvumba!
Huyu si ndo alikuwa anawachapa vijana viboko pale Jangwani ati kwa nini hawaoi? Unadhani kuoa ni swala la mchezo mchezo eeh? Sasa hivi vibiashara vya kupigia pesa 'unrealistically' vinaonesha zaidi kuwa akaunti ya Masanja imesinyaaa na huenda akafulia na kuuza Bima siku si nyingi 😀😀😀.
Embu ona hapa amelala na mke wake sijui ndio wameshauriana waje na hiki kiseminia? Eti semina juu ya kutunza pesa, tangu lini Masanja akawa na elimu ya kutosha ya mambo ya Finance kiasi cha kuwakalisha watu semina na kuwalipisha laki? Si bora tumchukue prof Lipumba aje atoe semina kama hiii?
Kweli maisha ni safari ndefu, unaweza ukawacheka wenzako kwa vile hujui ya kesho.
View attachment 430837
We unaonekana Una beef/chuki za waziwazi kwa masanja sasa unataka nas tukuaminiView attachment 430860
Wala sio jockes, deep down anapima upepo. Akiona watu wengi wanamshobokea ndio analeta semina, ila akiona watu hawamshobokei ndio anajifanya eti ilikuwa jockes...
Si unakumbuka alifungua kakibanda ka kuuza ubwabwa kule Tabata afu kakabuma? Sasa kukafunga anaona aibu na kukaendeleza anaona hasara. Kabaki njia panda.
Magufuli keshasema wapiga dili wote kwishney....
Ni Bora Hata Umefafanua Maana Kuna Wanamwombea Mtu Afulie Utafikiri Walimsaidia KutafutaMkuu Kodofan mi naona kama anajoke hapo na kusema kuwa kama unalipishwa pesa kwenda kwenye semina ya jinsi ya kutengeneza pesa basi uwe na akili usiende. Wapi ametangaza semina, au umeamua kumchamba tu masanja leo?
Mkuu nia ya ujumbe wako umeeleweka lakini uandishi wako hauko sawa. Kuandika kwa herufi kubwa habari yote au mstari mzima ni kama unapiga makelele (shouting). Hoja yako ni nzuri.ILE TAFITI NILUIYOIONA JANA KUWA WATANZNIA TUNAONGOZA KWA UNAFIKI NAONA IMEANZA KUTIMIA YANI MTU ANAKAZI YA KUFUATILIA MAISHA YA MASANJA ALAFU ALICHOKIANDIKA MASANJA HAINYOSHI KAMA AMEFULIA BALI NJIA YA KUJIPATIA FEDHA WEWE UTAPONDA NAKUONA KWELI HANA ELIMU YA MASUALA YA FEDHA LAKIN ANAFEDHA ZA KUMTOSHA YEYE NA HATA KUKULEA WEWE AMBAYE HUENDA UKAWA NA ELIMU YA FEDHA NA HAUNA FEDHA ZA KUJITOSHELEZA AU FEDHA AMBAZO HADI JAMII IKATAMBUA UNAFEDHA YEYE ANATAKA KUTOA ELIMU YA JINSI GANI ALITUNZA FEDHA ZAKE HADI ZIKAMPA UTAJIRI NA KWA VILE TAYARI ANAJINA KUBWA HATAKOSA WATU
[HASHTAG]#KUPATA[/HASHTAG] [HASHTAG]#ELIMU[/HASHTAG] [HASHTAG]#SIYO[/HASHTAG] KUWA TAJIRI BALI ELIMU ITAKUSAIDIA NAMNA YA KUWA TAJIRI ILA KWA SHARTI TU LA UTAYRI