Cheki Masanja anavyohaha, kweli kutunza mke si mchezo!


Huu muda wa kufuatilia mambo ya watu ungetumia kuwaza wewe binafsi utokaje nadhani ungekuwa mbali. Unachotakiwa kufanya kama ameanzisha kitu unakona hakijasonga just buy idea, endeleza na come-up na good ideas ulete kitu safi kuliko kusubiri chini aanguke.
 
Mods msitirini ndugu yetu. Ondoeni huu uzi.
 
we ni bora urudi shule tu kama umeshindwa kuelewa alichopost hapo Masanja
 
Mr ngadaman mwamvuli wa uchungaj una mengi wazee wa unga wa nyoka
 
We unaonekana Una beef/chuki za waziwazi kwa masanja sasa unataka nas tukuamini
 
kuigiza kumemshinda, kilimo kimemshinda, kanisa limemshinda, sembe imemshinda sasa ameamua kuwa tapeli.
 
Wewe uliyeanzisha hii topiki jaribu kutumia angalau akili kidogo kabla ya kuleta utumbo wako hapa JF. Soma vizuri kwa makini huo ujumbe wa masanja kabla ya kupost uharo hapa.
 
We mleta mada ni 'limbea sana' acha wivu, 'middling brain' wewe!
 
Inaonyesha unawivu wa mafanikio aliyo nayo masanja na ndio maana umekurupuka kuleta uchafu wako huku.......fanya kazi acha kukaria majungu ya vijiweni....mwenzio ndio anazidi kupasua anga.....
 
Mkuu Kodofan mi naona kama anajoke hapo na kusema kuwa kama unalipishwa pesa kwenda kwenye semina ya jinsi ya kutengeneza pesa basi uwe na akili usiende. Wapi ametangaza semina, au umeamua kumchamba tu masanja leo?
Ni Bora Hata Umefafanua Maana Kuna Wanamwombea Mtu Afulie Utafikiri Walimsaidia Kutafuta
 
Watanzania bana kazi kuombeana mabaya tu!
Masanja kakukosea nini wewe?
Mbona vijana hatutaki vijana wenzetu wanapofanikiwa?
Badala ya kufanya kazi kwa bidii unajikita kufatilia maisha ya wengine?
Unasababu yoyote ya kutokuwa maskini?
 
Halafu wengi tu wanasapoti hii
Poor Tanzania
 
Nilichogundua kwa huyu jamaa anaumuzwa sana na maisha ya masanja au anaumizwa sana na mke wa masanjaa kwani alichopoat masanja hakihusiani kabisa na maisha yake ya ndoa lakin jamaa karukia kutunza mke kumemshinda yaani katunga story yake ili kurelate na alichopost masanja na masanja amepost kitu tofauti na alichoelewa huyu jamaa,ukiwa postive hata kidogo unakosa nini masanja akifulia wewe utapata faida gani akishindwa kutunza mke wake wewe utaumia na nini,,,,kama ni mwamume na unafatilia maisha ya watu kiasi hicho kiasi cha kuwaza kupost uongo humu basi wewe ni mtu hatari sana...!badilika na kwa ushauri tu futa hii kitu..!..maisha yake hayakuhusu awe ana hela au hana...numeona hii kitu nimeona aibu mimi
 
Mkuu nia ya ujumbe wako umeeleweka lakini uandishi wako hauko sawa. Kuandika kwa herufi kubwa habari yote au mstari mzima ni kama unapiga makelele (shouting). Hoja yako ni nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…