Cheki Real Madrid walivyopokelewa kifalme baada ya kutwaa kombe la UCL

Cheki Real Madrid walivyopokelewa kifalme baada ya kutwaa kombe la UCL

Nafurahi leo nimerejea,kuna watu niliwaambia Juve atakamatiwa padogo na atagongwagongwa kama nyoka kifutu,watu wakanipinga.
 
Ila madrid wako mbali sana unajua jamaa wanawekeza na wanaona matunda ya kuwekeza kwao asa nikiangalia mun na kale kakikosi ka pogba na rashford hapana aisee super cup bado itaenda kwa Manuela
 
Ila madrid wako mbali sana unajua jamaa wanawekeza na wanaona matunda ya kuwekeza kwao asa nikiangalia mun na kale kakikosi ka pogba na rashford hapana aisee super cup bado itaenda kwa Manuela
Kweli Mkuu
Hilo kombe ni chakula ya real Madrid tu hakuna ujanja uwekezaji uliopo pale sio mchezo Manchester united hawana lao Kabisa
 
nnachowapenda watu wa pale Madrid wana life flani na wale wakatalunya they are bit extroverts of their kind
Anyway Halla Madrid
 
Usiongee sana, huyo Mou na Man United wanakutana na Zidane na Real Madrid tarehe 7 mwezi 8, au huna taarifa za UEFA Super Cup? Hakuna kusubiri msimu ujao kama wanataka kumfundisha Juventus jinsi ya kumfunga Real tarehe zimeshafika, acha maneno weka kandanda

Hao man-u wanafikiri Real Madrid ni ile ajax ya Amsterdam waliyoipiga kizembe vile.
 
Back
Top Bottom