balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Nafurahi leo nimerejea,kuna watu niliwaambia Juve atakamatiwa padogo na atagongwagongwa kama nyoka kifutu,watu wakanipinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafurahi leo nimerejea,kuna watu niliwaambia Juve atakamatiwa padogo na atagongwagongwa kama nyoka kifutu,watu wakanipinga.
Kweli MkuuIla madrid wako mbali sana unajua jamaa wanawekeza na wanaona matunda ya kuwekeza kwao asa nikiangalia mun na kale kakikosi ka pogba na rashford hapana aisee super cup bado itaenda kwa Manuela
Usiongee sana, huyo Mou na Man United wanakutana na Zidane na Real Madrid tarehe 7 mwezi 8, au huna taarifa za UEFA Super Cup? Hakuna kusubiri msimu ujao kama wanataka kumfundisha Juventus jinsi ya kumfunga Real tarehe zimeshafika, acha maneno weka kandanda