Cheki shilole anavyobonga NGELI

Safi hata wanaoujua waliongea broken enzi zao, practice makes perfect. Keep it up shishi baby hahahaha.
 
Sijaona weakness kwenye kanusho lake! OK tell

Kwanza ukisoma maelezo yake yey anaonesha wazi kuwa tatizo la hiyo posti ni kuwa may be hata fanya birtday au kumuita Platnumz kupiga show ( Yani kimaudhui zaid)
Lakin haonesh kukanus ubovu wa matumizi ya Lugha ( Fani).

so yey kaonyesha kuwa lugha ni sawa na it means imetoka kwake kama hakuligusa hiloo
 

We Mwenyewe Kiswahili unaandika hivi Kiingereza je....


Btw kakanusha si akaunti yake..., nadhani itakua hivyo pia
 
ile ngeli ya diamond alivyoshuka south africa ilinichomoa mbavu hii ya shilole leo bandama litachanika
 
"Shukrani kwa nyerere alicheza utadhani pele kuendeleza kiswahili mikoani na mbelembele tunamfagilia mzungu wakati tuna shida tele kiingereza bila hela ni sawa na kupiga kelele"-Langa(apepe)
 
this is wonderfull for sure, akazane tu hata mbuyu ulianza kama mchicha
Yani shishi beyb kaniacha hoi!nimecheka sana!!Ingawa hii sio lugha yetu angetumia japo kigogo tu!
 
Yani shishi beyb kaniacha hoi!nimecheka sana!!Ingawa hii sio lugha yetu angetumia japo kigogo tu!

hii shida yote ililetwa na monsoon wind, kwahiyo akazane tu ataweza
 
Eeeh Senkyuu vere much Da Shilole......Wanaija wajipangeeee tumekuja kuwaaashikaaaaaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…