Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
witch guy
Dah. Alielewa jamani kilichoandikwa hapo anieleweshe... Maana nmekodolea macho wee nkatoka bila bila....
Kwani angeandika kinyamwezi angepungukiwa nini....??
Umeona loophole au weaknes ya maelezo yake???
Sijaona weakness kwenye kanusho lake! OK tell
asipojaribu atajuaje??? kajaribu
Kwanza ukisoma maelezo yake yey anaonesha wazi kuwa tatizo la hiyo posti ni kuwa may be hata fanya birtday au kumuita Platnumz kupiga show ( Yani kimaudhui zaid)
Lakin haonesh kukanus ubovu wa matumizi ya Lugha ( Fani).
so yey kaonyesha kuwa lugha ni sawa na it means imetoka kwake kama hakuligusa hiloo
Yani shishi beyb kaniacha hoi!nimecheka sana!!Ingawa hii sio lugha yetu angetumia japo kigogo tu!this is wonderfull for sure, akazane tu hata mbuyu ulianza kama mchicha
Yani shishi beyb kaniacha hoi!nimecheka sana!!Ingawa hii sio lugha yetu angetumia japo kigogo tu!
Diamond kawambia wasiogope kuchekwa
Diamond kawambia wasiogope kuchekwa