Cheki ujinga huu wa umaskini

Kwamba Ungemsaidia mtoa mada alietumia 70,000 kwenye internet kwa kumpa internet ya 120,000-240,000 ambayo kujiunga tu inahitaji Milioni 1?

Unless unaishi vijijini kabisa zipo Internet bora zaidi ya Starlink kibao Tanzania.
 
Tafuta Postpaid tigo ama Sme ya Airtel, utasave vya kutosha.

Hio 70,000 ulipata Jumla GB ngap?
 
Kwamba Ungemsaidia mtoa mada alietumia 70,000 kwenye internet kwa kumpa internet ya 120,000-240,000 ambayo kujiunga tu inahitaji Milioni 1?

Unless unaishi vijijini kabisa zipo Internet bora zaidi ya Starlink kibao Tanzania.
Hahahahaha utani huoo
Nijiunge mil 1 afu nieendelee kugaramia 240
Ingekuwa 1M for life labda

Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
 
Mimi nishakaa nikakuuliza sana Ivo maana shughuli zangu zinaitaji bandle ntawezaje kulihandle hili ili nitoboe ushauri wenu naitaji
 
Mm natumia 3000 x 30=/ 90,000 kwa bundle nje ya dadikaa SMS najiunga 10,000 per month kwa buku tu.
 
kuna siku narudi Kitonga niko Mbande
niko siti ya nyuma kabisa
kwa mbele naona, mtu anakwangua vocha ya kwanza, ya pili , ya tatu, kisha akajiunga
huyo breki ya kwanza insta,
Wabongo wengi wanamiliki simu za gharama au kama hivyo kutumia hela nyingi kwenye bundle lakini zaidi ya kuingia FB insta na huko wanakoita tiktok hakuna kingine.

Unakuta anazunguka humo humo,atatoka humu anaingia humu anaingia tena kule alimradi amepoteza muda na kucheka cheka hovyo ukimuuliza alichojifunza ni zero.
 
Mm natumia 3000 x 30=/ 90,000 kwa bundle nje ya dadikaa SMS najiunga 10,000 per month kwa buku tu.
Kama kupitia hizo bando za internet nawe unajingizia faida inakuwa sio mbaya, ni vibaya kama Inaishia Instagram na tiktok bila maana

Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
 
Yap ni facts kabisa almost 75%, za bundle za internet watu wanazojiunga hawaingizi faida but wanaishia kujiburudisha tu kwenye social app

Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
 
Insta natumia.mara chache mno. Huko tiktok ndiko hat sikujui.

Insta inakula sana bundle.
 
Kama kupitia hizo bando za internet nawe unajingizia faida inakuwa sio mbaya, ni vibaya kama Inaishia Instagram na tiktok bila maana

Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app

Kujiburudisha kujifunza…kwangu internet ni daily life package bila internet maisha yanakuwa Kama Upo jela
 
Ninachoshukuru kipato changu ni kupitia internet
Nimejiunga Voda Supakasi 115k kwa mwezi internet bila kikomo
 
Insta natumia.mara chache mno. Huko tiktok ndiko hat sikujui.

Insta inakula sana bundle.
Hua namuona wife hata uki restart router Instagram inaplay wala hashtuki. Huwa inaload kama video 10 hivi za mbele, uangalie usiangalie bando limeenda hilo.

Halafu siku hizi wana bypass playstore updates zote zinatoka kwao wenyewe.
 
Zamani nilikuwa natumia web. Ilikuwa video hazijiplay hadi niplay mimi ila siku hizi hata kwenye web bado zinajiplay zenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…