Lion01
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 527
- 995
- Thread starter
- #61
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tafuteni hela.
Ndo tunaanza Kwa kubana matumizi
Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tafuteni hela.
Duuuh ndo mana sekunde tu bado kwishney[emoji848][emoji848]Hua namuona wife hata uki restart router Instagram inaplay wala hashtuki. Huwa inaload kama video 10 hivi za mbele, uangalie usiangalie bando limeenda hilo.
Halafu siku hizi wana bypass playstore updates zote zinatoka kwao wenyewe.
Iyo ipo gud kabisa imlarad unaingiaa faida iyo Iko powaa[emoji122][emoji122][emoji122]Ninachoshukuru kipato changu ni kupitia internet
Nimejiunga Voda Supakasi 115k kwa mwezi internet bila kikomo
As long unaingiza faida iyo Haina shida ila kama hakuna faida na unatumia pesa ndefu kwenye bundle basi jitahid kujibana bana aisee mana itasimanisha mamboKujiburudisha kujifunza…kwangu internet ni daily life package bila internet maisha yanakuwa Kama Upo jela
Eh sasa postpaid ndo nn tena ![emoji3]skia unajiungaje sme gharama zipoje na unapewa gb ngp kwa muda gani?Ni kama Postpaid ya Tigo ila haina mkataba unajichagulia mwenyewe kifurushi.
![]()
Vifurushi vya malipo baada.Eh sasa postpaid ndo nn tena ![emoji3]skia unajiungaje sme gharama zipoje na unapewa gb ngp kwa muda gani?
Mbande kama Mbande mwishoni mwa mji 🤣kuna siku narudi Kitonga niko Mbande
niko siti ya nyuma kabisa
kwa mbele naona, mtu anakwangua vocha ya kwanza, ya pili , ya tatu, kisha akajiunga
huyo breki ya kwanza insta,
😅 😅 yep yep tunasogea Kisewe, Msongola mpaka home sweet home, MvutiMbande kama Mbande mwishoni mwa mji 🤣
Nikiwa na tin peke yake je ?inawezekanaVifurushi vya malipo baada.
Unaungwa ofisi za Airtel upate hizo Bundle, kihalali inabidi uwe mfanyabiashara na Tin no, ila mtaani pia wanaunga kimagumashi.
uzuri wa Mbande hata ukiwa na 1000 mapochopocho kama yote afu mi nazipenda zile jet za kwenda kariakoo (Mbande-Gerezani) zinateleza hatari hasa zikifika maeneo ya kwa Azizi barabara unakuta hamna foleni😅 😅 yep yep tunasogea Kisewe, Msongola mpaka home sweet home, Mvuti
Ndio unaungwaNikiwa na tin peke yake je ?inawezekana
Shukran ngoja nifuatlie hiiNilipata hiyo shida. Nilikuwa natumia 3000 au hata zaidi siku nyingine lakini nakuwa hata sijatosheka, roho ilikuwa inaniuma sana🙁 Nimejiunga Tigo postpaid ya 60,000 kwa mwezi. Napata Gb 72. Niko huru na gharama zimepungua. Spotify inacheza muda wote, naingia youtube na Insta bila shaka yoyote. Leo zimebaki siku nne nina GB 24, ni sijapata movies nzuri mwezi huu. Lakini pia huwa narun matangazo facebook na insta so kwa sehemu ni muhimu kwangu.
Jitahidi ujiunge postpaid. Maana vipo vifurushi vya chini kuanzia 15000. Uwe na kitambulisho, TIN, na leseni ya biashara(Hii siyo sana)