Cheki unavoweza kupata milioni 5 kila mwezi au laki 5 kila mwezi

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Salaam.....Good morning billionaires πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜† kabla hujakaa kwenye kiti wewe ni bilionaire a big mogul.

ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa hapo sawa ukifuga ng'ombe 10 tu wanatoa maziwa wote lita 300 kwa siku hapo uwe na soko la maziwa la uhakika maana cow mmoja anatoa lita 30 sawa na 1000 kila lita kwa kijijini 1000Γ—30lita= 30000 per day.
30,000Γ—10cow= 300,000sh.per day
300,000Γ—30days=sh.9000,000
Tufanye pesa ya wafanyakazi na chakula cha cow ni sawa na Tsh.4,000,000 kwa mwezi
9,000,000Tsh.-4,000,000Tsh.
Cow 10 kila mwezi anakulipa Tsh.5milions kwa uuzaji wa lita moja Tsh 1000 tu bei ya kijijini mjini lita ni 1500.

Watu wanauliza bus zinanuliwaje cow wako kwa miezi 5 tu wanakupa 25,000,000 profit imagine uko na 30 cows wenye mimba.
NB:
Cow mmoja tu unapata 500K profit, kumbuka gharama ya cow mwenye mimba mmoja ni milioni 2.8 au 3mil. Plus banda lake ni milioni andaa. Cow mwenye mimba ni OG zaidi ....

PM yangu ipo wazi karibuni niwape mawazo mnapo kwama au ambapo hamjaelewa tafadhali.

Mods Wand huu uzi tafadhali hamisheni kule jukwaa la hoja mchanganyiko ndipo pana wachangiaji wengi
 
Wanauzwaje ukihitaji kuwanunua hao ng'ombe?
Hao cow ni Tsh. 3,000,000 ile pure breeding yenye mimba ina karibu mwezi itoe ndama ipo faida ya kununua mwenye mimba ya karibu izae kama mwezi mmoja.
 
Salaam.....Good morning billionaires πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜† kabla hujakaa kwenye kiti wewe ni bilionaire a big mogul.

ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa hapo sawa ukifuga ng'ombe 10 tu wanatoa maziwa wote lita 300 kwa siku hapo uwe na soko la maziwa la uhakika maana cow mmoja anatoa lita 30 sawa na 1000 kila lita kwa kijijini 1000Γ—30lita= 30000 per day.
30,000Γ—10cow= 300,000sh.per day
300,000Γ—30days=sh.9000,000
Tufanye pesa ya wafanyakazi na chakula cha cow ni sawa na Tsh.4,000,000 kwa mwezi
9,000,000Tsh.-4,000,000Tsh.
Cow 10 kila mwezi anakulipa Tsh.5milions kwa uuzaji wa lita moja Tsh 1000 tu bei ya kijijini mjini lita ni 1500.

Watu wanauliza bus zinanuliwaje cow wako kwa miezi 5 tu wanakupa 25,000,000 profit imagine uko na 30 cows wenye mimba.
NB:
Cow mmoja tu unapata 500K profit, kumbuka gharama ya cow mwenye mimba mmoja ni milioni 2.8 au 3mil. Plus banda lake ni milioni andaa. Cow mwenye mimba ni OG zaidi ....

PM yangu ipo wazi karibuni niwape mawazo mnapo kwama au ambapo hamjaelewa tafadhali.

Mods Wand huu uzi tafadhali hamisheni kule jukwaa la hoja mchanganyiko ndipo pana wachangiaji wengi
πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo umeanza β€œgood Morning” nimekumbuka Qnet
 
Kuliko ununue boda boda au bajaji bora ununue hawa cow ufuge ikiwa unajua kutafuta soko na utaweka dhamira ya kutowabania chakula yaani vyakula vya madukani havikwepeki mazee maana kama cow anakupa 30000 per day huko kijijini na ukiuza town maziwa ni 45000 kwanini usiweke 10000 kila siku ya chakula chake.
 
Back
Top Bottom