Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefanya kazi ngumu kushinda hiyo mkuu kwangu nafuga kuku na mabanda nasafisha mwenyeweNuzu wewe hufagaji wa cow huwezi venye uko mrembo na cow akinya yale mavi yana harufu.....πππ
Nimeeleza hapo juu mkuu kwamba wanahitaji malisho ya uhakika na nyasiKwenye makaratasi tu
Utatembea Tz nzima utakuta ngombe watoao hizo lita za maziwa ni ngombe wachache sana, na hadi watoe umewalisha chakula kingi sana mf Asas.
Usije danganywa ukauziwa ngombe kutoka pale Ubungo soko la Nguruwe kuwa wanatoa lita 10 utafika utakuta hata lita 5 hawafiki kwa siku.
Bado ugonjwa, ngombe anaweza ugua kwa kula nyasi za sumu etc
Matibabu utakuwa rafiki wa Vets
Bado ngombe hujawapa suppliments ili watoe maziwa, hujawapa silage, hujawapa mambo chungu nzima.
Kamwe kamwe usidanganywe, fuga kama unapenda fuga ila kwa biashara inabidi ujitoe haswaaaa
Hata Mimi nimecheka Sana maana ndo swaga zao hizo[emoji23][emoji23] hapo umeanza βgood Morningβ nimekumbuka Qnet
Sasa kumbe nilicho andika ni pumba sana, aisee watz tuna safari ndefu sana, haya kanunueni boda boda basi maana kila mtu ana idea ya kuwa na boda boda.Hayuko tofauti na wanaojiona bingwa wa kufundisha ujasiliamali, wanaeleza vizuri kwenye makaratasi kwenye uhalisia tofauti kabisa ndo maana wao kitu wanachofundisha wanakuwa hawana. Unakuta yupo bize kuelezea namna ya kutengeneza sabuni na faida utakazopata lakini yeye hana hata moja.
Shukrani Copa Cabana sasa nikamuhitaji huyo ng'ombe niko mbeya nampataje ?Hao cow ni Tsh. 3,000,000 ile pure breeding yenye mimba ina karibu mwezi itoe ndama ipo faida ya kununua mwenye mimba ya karibu izae kama mwezi mmoja.
Wewe unafuga ng'ombe?Kwenye makaratasi tu
Utatembea Tz nzima utakuta ngombe watoao hizo lita za maziwa ni ngombe wachache sana, na hadi watoe umewalisha chakula kingi sana mf Asas.
Usije danganywa ukauziwa ngombe kutoka pale Ubungo soko la Nguruwe kuwa wanatoa lita 10 utafika utakuta hata lita 5 hawafiki kwa siku.
Bado ugonjwa, ngombe anaweza ugua kwa kula nyasi za sumu etc
Matibabu utakuwa rafiki wa Vets
Bado ngombe hujawapa suppliments ili watoe maziwa, hujawapa silage, hujawapa mambo chungu nzima.
Kamwe kamwe usidanganywe, fuga kama unapenda fuga ila kwa biashara inabidi ujitoe haswaaaa
Wapo arusha Tengeru.Shukrani Copa Cabana sasa nikamuhitaji huyo ng'ombe niko mbeya nampataje ?
Sasa wewe una Cow wawili hao wa kuuzia kadamnasi utawatoa wapi ?Ninaye wawili mkuu
Umetisha Copa Cabana nikaribiapo inbox yako tafadhali usione kuwa usumbufu.Wapo arusha Tengeru.