Cheki unavoweza kupata milioni 5 kila mwezi au laki 5 kila mwezi

Sasa wewe una Cow wawili hao wa kuuzia kadamnasi utawatoa wapi ?

Ingawa ni vema kuanza kidogo kidogo ku-test the water, kabla haujawaza hao 30 unaosema, unaweza kujikuta unamuiga Alinacha na Ndoto zake...
Ni wawili lakini mkuu hawa cow ni kama una cow 10 wa kienyeji, napata lita 50 kwa wastani wa siku sawa na Tsh 50,000 kwa siku ambayo siyo haba mkuu.

Nafikiri kuuza lita 1 kwa Tsh.1500 kwa kuongeza thamani ya maziwa kwa huku mkoani.
 
Ni wawili lakini mkuu hawa cow ni kama una cow 10 wa kienyeji, napata lita 50 kwa wastani wa siku sawa na Tsh 50,000 kwa siku ambayo siyo haba mkuu.

Nafikiri kuuza lita 1 kwa Tsh.1500 kwa kuongeza thamani ya maziwa kwa huku mkoani.
What's the catch ? Kwanini kama hii breed ipo watu wasihamie kwenye hii ? Shida ni nini bei ya Cow, maintanance au utamu wa maziwa ?
 
What's the catch ? Kwanini kama hii breed ipo watu wasihamie kwenye hii ? Shida ni nini bei ya Cow, maintanance au utamu wa maziwa ?
Mazoea ya wabongo na lack of informations, wengi hawana taarifa kaka, na wanahofia gharama za kulisha pia.
Cow wanahitaji intensive capital kiasi kama ulivosema.
 
Alichoandika huyu jamaa hana tofauti na yule motivation speaker wa redioni, yupo hapa πŸ‘‡πŸΎ.
 
Sawa kama ndivyo ulivyoona.
 
Ng'ombe wanalipa ila mleta mada ame over estimate
Nime overstimate au nime underestimate??... come down man.

Kuna kitu watu hawajui hawa sio cow wa kienyeji au hawa wanao fanyiwa interbreeding mitaani huko known as a local bulls big no hawa siyo local bulls mzee, hawa ni artificial very artificial.

Cow mmoja mwenye mimba ana cost sh.3mil. Cow mwenye mimba ni OG zaidi ili akitoa maziwa unaweza kuuza maziwa na at the same time ukanunua chakula ukawafuga, wanahitaji banda zuri, wanahitaji usafi kwa mwezi waoge mara mbili, wanahitaji uwe na size plot upande majani yao special, wanahitaji wahudumu smart plus dawa.

They prefer low temperate area kama wangu wako Moshi.

Sasa kuna watu kisa nimeandika hesabu za pesa wanasema ni za makaratasi mara napiga tantarira. Kama siyo fursa usifanye, fanye nyingine.

Cow mmoja ukiwa smart kwenye kubrand na kuuza maziwa mgahawani anaweza kukupa profit margin ya sh.1,000,000 yaan cow kama jini linatema mihela sasa sio kila mtu lazima awe boda boda.

Cow mwenye mimba with 5mil. Unaweza kuanza naye kibishi.
 
 
Mtoa mada ataki jina la ng'ombe kabisaaaa, na ww imebdi uulize ana cow wangapiii??
Cow ndiyo fresh mimi mvivu wa kuandika ng'ombe 😁😁😁 cow wa kisasa wapo kama asher, jersey wale pure breeding.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…