Cheki unavoweza kupata milioni 5 kila mwezi au laki 5 kila mwezi

Cow ndiyo fresh mimi mvivu wa kuandika ng'ombe 😁😁😁 cow wa kisasa wapo kama asher, jersey wale pure breeding.
Una cow wangapi, ? Unajua idea nyingi kwenye wkt wa kufikiria zote tunajionaga wajinga kwann, hatuna pesa..ila idea ukiziweka field zinakua na ups and downs nyingi sana..

Naonaga, mategemeo yape 50 to 60% hapo safiii, ukisema faida ya 5M, pigia 5% ambayo ni 2.5M atleast.
 
Cow nilisema wapo wawili mkuu.

Swali???
Cow anatoa lita 30 ya maziwa kwa siku, sasa mzee jiulize soko la maziwa kwa kiasi cha lita 1 ya maziwa ya fresh (yasiyo ganda) inauzwa shilingi ngapi???

(Alafu piga hesabu zako).

Provided that malisho na utunzaji wa cow remain constant.
 
Kak mm Niko ddm hapa jirani wangu Ana ngombe wa maziwa kwa siku anakamua Lita 80 asbh na jioni hvyo. Hvyo
Lita Mia 160 na Lita huku ni elf 2000

Ana wafanyakazi wawil wa kiume na MMOJA wa kike

Ofcous Hana hata kumi Zaid Sana wattu

Ishu inawezekana Kam ukiwa na usafir na vijan wa Kaz Kaz utauza vzr Sana nimewai hi project in futer Seema ktk miezi ya kiangazi na majani haipatikani kbsa ila kibishi mno nataka niende niinge hyo biashara yake uwatoe vijan huko ndani huko wa Kaz ya ngombe na kusambaz maziwa

Ilov that hata ukiwa na wawil POA tu mm
 
Lita 30 kwa asbh tu au na jioni

Kiukweli Kuna watu wamejenga na kusomesha watot kwa Kaz ngumu ya kulisha ngombe Tena Hawa chotara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…