uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Mwa-City ni underdog tu kwa Chelsea FC, vidume tukiweka vikao vya makombe ya Wanaume Ulaya "UEFA CHAMPIONS LEAGU, UEFA SUPER CUP & WORLD CLUB CUP" Mwa-City hawezi kusogeza hata pua tu.Epl raha sana ukifukua kaburi la Mwenzako lako wanasogezea majembe
Mwa-City ni underdog tu kwa Chelsea FC, vidume tukiweka vikao vya makombe ya Wanaume Ulaya "UEFA CHAMPIONS LEAGU, UEFA SUPER CUP & WORLD CLUB CUP" Mwa-City hawezi kusogeza hata pua tu.
Hold that LBora manchester city wanamuolekeo wa kuchukua uefa sio ile mitikiti ya london inayoongozwa na kichwa mai arteta [emoji16]
Ndio upigwe sitaMwa-City ni underdog tu kwa Chelsea FC, vidume tukiweka vikao vya makombe ya Wanaume Ulaya "UEFA CHAMPIONS LEAGU, UEFA SUPER CUP & WORLD CLUB CUP" Mwa-City hawezi kusogeza hata pua tu.
Kabisa Mabingwa Chelsea FC tulipigwa 6-0 na Mwa-City [emoji4]Ndio upigwe sita
Masikini weee.... Unaleta rekodi za kuwafunga wakiwa na wachezaji wa championshipKabisa Mabingwa Chelsea FC tulipigwa 6-0 na Mwa-City [emoji4]View attachment 2567653
Haiondoi ukweli kuwa mpo nafasi ya 10 mnagombea msishuke daraja
Weka head to headInapozungumzwa chelsea, arsenal wakae kimya kwani hawana rekodi ya kuvutia
Weka head to head
Weka msimamo ili tuone hizo 6 zinavuokusaidia sasa hiviJamani timu ya Arsenal haijaanza kuteseka leo
Tarehe ya jana mwezi huu arsenal alitobolewa misumari sita na chelsea
Tuwaombee wachukue EPL mateso yamewaanza muda mrefu
Respect kwa kocha mtukutu Jose morinho kwa kugawa dozi
Weka msimamo ili tuone hizo 6 zinavuokusaidia sasa hivi