Chelsea 6-0 Arsenal kipigo cha mbwa koko 2014

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Jamani timu ya Arsenal haijaanza kuteseka leo

Tarehe ya jana mwezi huu arsenal alitobolewa misumari sita na chelsea

Tuwaombee wachukue EPL mateso yamewaanza muda mrefu

Respect kwa kocha mtukutu Jose morinho kwa kugawa dozi
 
.
Screenshot_20230327-150846.jpg
 
Epl raha sana ukifukua kaburi la Mwenzako lako wanasogezea majembe
 
Mwa-City ni underdog tu kwa Chelsea FC, vidume tukiweka vikao vya makombe ya Wanaume Ulaya "UEFA CHAMPIONS LEAGU, UEFA SUPER CUP & WORLD CLUB CUP" Mwa-City hawezi kusogeza hata pua tu.
 
Bora manchester city wanamuolekeo wa kuchukua uefa sio ile mitikiti ya london inayoongozwa na kichwa mai arteta [emoji16]
Mwa-City ni underdog tu kwa Chelsea FC, vidume tukiweka vikao vya makombe ya Wanaume Ulaya "UEFA CHAMPIONS LEAGU, UEFA SUPER CUP & WORLD CLUB CUP" Mwa-City hawezi kusogeza hata pua tu.
 
Head to Head ya Arsenal na Chelsea nani anaongoza ?
 
Jamani timu ya Arsenal haijaanza kuteseka leo

Tarehe ya jana mwezi huu arsenal alitobolewa misumari sita na chelsea

Tuwaombee wachukue EPL mateso yamewaanza muda mrefu

Respect kwa kocha mtukutu Jose morinho kwa kugawa dozi
Weka msimamo ili tuone hizo 6 zinavuokusaidia sasa hivi
 
Back
Top Bottom