Kwani wewe ni mgeni humuLakini hawajasema kama ni utani...
Pengine inaweza kuwa ban la Mwaka..
Ila huu uamuzi unashangaza mno sikutegemea kabisa kama mods wangefanya hivi
Lakini zote ni kauli katika ushabiki wa Mpira..Kuuwawa na ban ya mwaka ni mambo mawili tofauti
abc_craft soma hapaKwani wewe ni mgeni humu
Sidhani kama kuna mtu aliwahi kuomba ban na akanyimwa hawa jamaa hawanaga hiyana kabisa kwenye hilo
Hovyo kabisa, sijasoma comments kutafuta yakoShoga angu mambo? Umeona siji kwenye nyuzi zako, sasa unanisaka kila kona? ππππ Anyway niliyemjibu, alitaka kujua na amepokea majibu vizuri. Wewe pilipili usiyoila inakuwashia nini shoga angu? Acha gubu mdada. Bye π
DuuKwani wewe ni mgeni humu
Sidhani kama kuna mtu aliwahi kuomba ban na akanyimwa hawa jamaa hawanaga hiyana kabisa kwenye hilo
Ona sasa kamdomo kako kamekuponza. Uombee wakufungulie kabla ya huo mwaka 1 kupita, au uingie jukwaani kwa ID yako nyingine ya akiba.
Hawa mods hawana mchezo yani baada ya matokeo wakapita nae shwaaaβ¦πOna sasa kamdomo kako kamekuponza. Uombee wakufungulie kabla ya huo mwaka 1 kupita, au uingie jukwaani kwa ID yako nyingine ya akiba.
Hata ungekuwa wewe ndiye mods ungefanya nini?π€£π€£Hawa mods hawana mchezo yani baada ya matokeo wakapita nae shwaaaβ¦π
Hongera kwa kutoka kwenye ban.
Yupo sana...Ushakula ban yako ya mwaka kiroho safi π€£π€£π€£
Sasa unaingia Jf kivingine.
Mchezo wa soka haupendi majigambo
Ametoka kifungoni huyo, ingawa si kama kile alichoombaYupo sana...
Okay π