Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 1,160
- 1,748
Safi kabisa, Tena achezee ban la mwaka kama alivyoomba
Je, kama ilikuwa ni utani tu....🤔Amepewa alichoomba......
Hapo hakuna utani mkuu alitaka mwenyewe huyuJe, kama ilikuwa ni utani tu....🤔
Daah ...Hapo hakuna utani mkuu alitaka mwenyewe huyu
Mwenyewe alitoa ahadi apewe anachotaka hapo kataka mwenyewe mkuuDaah ...
Kumbe maneno tu yanamfunga mtu...
Sijui kama nia yake kweli kama alikuwa anahitaji ban..
But anyway, Already it has happened
😅😅😅😅 ni utani tu wa kimpira, watamfungulia baada ya masaa kadhaa au ndani ya wiki tu.Daah ...
Kumbe maneno tu yanamfunga mtu...
Sijui kama nia yake kweli kama alikuwa anahitaji ban..
But anyway, Already it has happened
Wakome wanaopenda kauli za kupigwa ban, bila Shaka saiz zitapungua na inatakiwa kweli apigwe kwa muda alioutakaDaah ...
Kumbe maneno tu yanamfunga mtu...
Sijui kama nia yake kweli kama alikuwa anahitaji ban..
But anyway, Already it has happened
😀😀kumbe pia ban wanamtania tu.😅😅😅😅 ni utani tu wa kimpira, watamfungulia baada ya masaa kadhaa au ndani ya wiki tu.
Kweli ni utani na ndio sababu mod wamepiga ban kiutani.Je, kama ilikuwa ni utani tu....🤔
Wenye Mamlaka hawahitaji utani Kabisa aisee ...Wakome wanaopenda kauli za kupigwa ban, bila Shaka saiz zitapungua na inatakiwa kweli apigwe kwa muda alioutaka
Hii ameitaka mkuu na mods wametimiza takwa lake. Aombae hupewaWenye Mamlaka hawahitaji utani Kabisa aisee ...
Lakini Pia si kuna sheria ya kumpiga Mtu ban au hili suala limo
Ila akome...🤣🤣😅😅😅😅 ni utani tu wa kimpira, watamfungulia baada ya masaa kadhaa au ndani ya wiki tu.
Hiyo ni Serious siyo utani tena MkuuKweli ni utani na ndio sababu mod wamepiga ban kiutani.
Kwamba ukiomba au ukitaka chochote kwa Mods unapewa MkuuHii ameitaka mkuu na mods wametimiza takwa lake. Aombae hupewa
😀😀Kwamba ukiomba au ukitaka chochote kwa Mods unapewa Mkuu
Ndio maana yake Mkuu. Mods nao wamemtania kwa kumpa Ban ila watamuachia tu ili siku zingine ajifunze.Hiyo ni Serious siyo utani tena Mkuu
'BANNED'