Chelsea anafungwa, asipofungwa nipigwe ban la mwaka

Chelsea anafungwa, asipofungwa nipigwe ban la mwaka

1751822201349.jpg
 
Shabiki wa Simba na Yanga anatumia mihemko ile ile ya kwenye mechi zao kutabiri mechi za nje.

Kule unafungwa na yeyote, muda wowote na kipigo cha aina yoyote. Wenzako wanaomba ban ya week we umeomba mwaka, kula chuma.
Wame fulfill wish yake 😀😀
 
Back
Top Bottom