Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tofauti kati ya Newcastle na Chelsea ni kubwa: Newcastle imeshinda mechi zote tano za hivi majuzi, ikiwa na pointi 15 kati ya 15, wakati Chelsea haijashinda hata moja, sare tatu na kupoteza mbili, ikikusanya pointi 3 pekee kati ya 15.

Kwa kuzingatia hii hali ya sasa, inaonekana hakuna uwezekano kwamba Chelsea wataweza kupigania nafasi ya 4 bora hadi mechi yao nne za mwisho dhidi ya Liverpool, Newcastle, Manchester United, na Nottingham Forest.

Je, unadhani Chelsea inaweza kupindua meza na kuwania nafasi 4 za juu?

 
Nafasi pekee ambayo Jackson anaweza kuitumia uwezo wake wa kupress, kudisposes, kusprint na kuassists bila ya kumtwisha mzigo mkubwa wa kufunga magoli ni LW. Mbali na hapo ni kumuweka benchi kitu ambayo haiko kwenye plan ya kocha wala SD waliomsajili
Mimi nadhani Jackson afanyie kazi finishing na confidence yake. Hizi nafasi tunazo mpachika tutamuongezea mzigo mzito tu. Nionavyo mimi ataweza kuperform vizuri ikiwa watakua striker wawili lakini sio suala la kucheza LW.

Tuendelee kula mtori, nyama zipo chini.
 
Game zote ambazo hatujapata matokeo ni ujinga wa wachezaj kwa nafas wanazopata na kushindwa kuzitumia
 
Mkuuu kwan kwa Jackson unaona nni
 
Ni miujiza tu ndio itatufanya tuweze kubaki top 4
Hakuna dalili ya kusajili waokoaji wa hili jahazi linalozama.
SD wanang'ang'ana na akina Kareem Adeyemi
Tukubali tu kwamba msimu umeisha na sisi na UCL kwaheri labda tushinde UECL ili mwakani tushiriki Europa.

View: https://x.com/i/status/1788698461434445952
 
Lavia tena

Nilisikia kwamba majeruhi ni ni Romeo Lavia, Levi Colwill, Enzo Fernandez na Cole Palmer ambao wote wana shaka dhidi ya Wolves.
Romeo Lavia = Knock
Levi Colwill = Knock
Enzo Fernandez = Knock
Cole Palmer = Haijulikani
 
Mke wa Pep Guardiola alikuwa anachukia mpira wa miguu na pia kumchukia mume wake kwa kutumia muda mwingi kwenye mpira
Ameamua kumshitaki mume wake mahakamani kuomba talaka kwa sababu kuu kuwa mume wake hana muda na familia yake
Mahakama ikatoa hukumu ya kukubali ombi la talaka na kugawa katikati utajiri wa PEP ambao aliupata kutoka kwenye kazi ambayo mke wake hakuipenda
Ikumbukwe kuwa PEP hakutoka nje ya ndoa wala hakuwa mgomvi kwa mke wake wala familia yake
Hizi mahakam za ulaya na sheria zao za kijinga zinawaumiza sana wanaume
 
Inasikitisha kwa kweli
 
Ndoa kwa wenye hela ni utapeli.
 
Kwa mujibu wa jarida la Marca la Uhispania, Chelsea wametuma pendekezo kwa Deportivo La Coruna kwa ajili ya kumsajili winga wao wa Uhispania, Yeremay Hernandez. Ofa hiyo inasemekana kuwa karibu na €10m (£8.4m) kama ada maalum, na addons zikihusishwa na uchezaji wa chipukizi huyo.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 ana release clause ya €20m (£16.8m) kulingana na jarida hilo, lakini kwa sasa haijajulikana kama Chelsea itakuwa tayari kufikia bei hii ili kumnasa mchezaji huyo mchanga wa mrengo wa kushoto.
 
Ndoa kwa wenye hela ni utapeli.
Nasikia pia mahakama imempa jumba lao la kifahari la jijini Machester. Walikuwa pamoja kwenye likizo ya Krisimasi lakini Manchester city walipomuongezea tu m kataba hadi 2027, Serra akakasirika na kwenda mahakamani
 
Tunapozungumzia timu kujipata bc tunazungumzia N. Forest, hii timu hapo ilipo ni ishu kubwa sana kwangu kuliko Liverpool kuchukua ubingwa.

Leo hii Chelsea ipo nafasi ya 6 😂 yn tumepoteana ghafla.
 
Wanawake 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…