Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

MAKUBALIANO YAFIKIWA. Dário Esugo (20yrs) atakuwa mchezaji wa Chelsea msimu ujao. Uhamisho wa wachezaji wa Blues ulifungwa katika saa chache zilizopita, na Sporting kupokea €22 milioni fasta (hakuna vigezo).

1742039034289.png
 
View attachment 3271284
Chelsea wanaednelea kusajili vitoto tu, sisis tuliozeeka hatutakaa tuje kuifaidi hii Chelsea, wametufanyia uhuni mkubwa sana. Kwa nini wasichanganye?
 
waambieni Arsenal timu hii, wajipange mapema wasije lialia hapa
Tuna mpango wa kupungauza gepu ahdi pint 3

1742050575432.png
 
Back
Top Bottom