Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cole Palmer: "Nimekuwa nikiwasiliana na Estevão, na mara nyingi ananiuliza kuhusu London. Kiingereza chake kinaimarika kila wakati. Ni mvulana ambaye ana hamu ya kuja kusaidia timu. Tunafanya kazi ya kujenga kemia nje ya uwanja. na kuona jinsi yote itkavyokuja pamoja kwa msimu ujao."

 
Hii club wanayoiharib ni SD , summer badala ya kupiga hatua kweny usajil utakaotuimprove tukaleta ujinga na same mistake tunaifany dirisha hili
 
Garnacho atatusaidia kweli?, Hivi dunia nzima tunakosa wachezaji wazuri kweli hadi tuwe tunachukua waliofeli timu kubwa za uingereza tu
 
Chelsea vs Wolves

Formation: 4-2-3-1
Lineup

-----------------Jackson-----------------

Neto----------Palmer-----------Madueke

-------KDH ----------------Caicedo------

Cucurella --Chalobah--Tosin--James

---------------Sanchez -------------

Bench
1) Jorgensen
2) Gusto
3) Acheampong
4) Disasi
5) George
6) Felix
7) Sancho
8) Nkunku
9) Guiu
 
Unahisi Garnacho atatusaidia au ndio kukusanya watoto zaidi

Tuna upungufu wa viungo ila mpaka sasa hakuna dalili ya kumrudisha Andrey Santos o Ugechukwu
Kwenye viungo kocha anaona isue ya Enzo na Lavia ni ya temorary tu maybe ni mechi moja tu ndio watakosa
Ila mi9mi kwa maoni yangu wacha wabaki maana wanafanya vizuri huko ili 2025 July tuwe na squad ya uhakika
 
Kwenye viungo kocha anaona isue ya Enzo na Lavia ni ya temorary tu maybe ni mechi moja tu ndio watakosa
Ila mi9mi kwa maoni yangu wacha wabaki maana wanafanya vizuri huko ili 2025 July tuwe na squad ya uhakika
Lavia sio mtu wa kumtegemea Yani tuna 2 Full fit midfielder

Lavia hawez cheza mech 5 mfululizo
 
Haya wakuu, safari ya kuitafuta nafasi ya 4 au ya 6 imeanza 😎
 
Nlkuwa nasubir kipindi cha kwanza kiishe ili niende kuchek game ila imebidi nirudi kitandani tuu, hili jero langu nitakula maandazi asubuhi.
Tumeshinda 3-1 ila Chelsea ni ile ile haijabadilika. Tushukuru tulikuwa tunacheza na Wolves wasioweza kudefend wala kushambulia
 
Kama SD wanaona tatizo tulilonalo halaf wako tayar kutoa 60M kwa Garnacho inafaa waondoke haraka iwezekanavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…