Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea team v PSG: Cech; Ivanovic, Cahill,
Terry (c), Azpilicueta; David Luiz, Lampard;
Willian, Oscar, Hazard; Eto’o.
 
Ronaldo kakosa penalty huku...maji ya shingo. Hazard nje Chelsea kwisha habari yenu
 
So far david luizi anawazingua chelsea kapooza sana aafu kuna mipira huwa anaipoteza kizembe
 
Back
Top Bottom