Chelsea hakuna mpira pale ila kuna Mourinho

Hahahahhhahahh nimecheka kweli
 
Haya baba. Tufanye ilikuwa faulo
 

pole sana bro,kitu ambacho nimekiona kwako ni kuwa hujui mpira,ila una mahaba na timu.sportsmanship is very important in sports.ningekuwa na uwezo wa kuapload hicho kipande unachosema herrera alikwatuliwa ningekiupload hapa ili ujifunze kuwa mwanamichezo badala ya kuwa na mahaba na timu.hata refa aliona herrera anapeleka mguu kujigongesha kwa cahil.ukiwa mtu wa mahaba utatoa kauli kama yako,ukiwa mwanamichezo utaangalia tukio hilo kwa jicho tofauti
 

Kumbuka basi na ile ya Torres akapewa red sembuse huyu yellow
 

mkuu wewe ni mchambuzi mzuri sana wa mpira ila utafanikiwa ukiacha ushabiki. But kwa mujibu wa maelezo yako hapo juu unanishawishi kuaminia kwamba at least mpira unaujua. Huo ushauri wangu kwako
 

Well said mkuu,ila c unajua mfa maji.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…