Chelsea kumpa timu Frank Lampard ni sawa na kucheza kamari , uwezo wake ni wa mashaka

Chelsea kumpa timu Frank Lampard ni sawa na kucheza kamari , uwezo wake ni wa mashaka

Huu ndio ukweli ninaoujua , na hili linachangiwa sana na Abramovic kutokulifahamu soka , na ndio maana aliweza kumwachia timu kocha wa ajabu Avram Grant.

Huwezi kuacha makocha wote bora wa dunia ukaja kuchagua mtu kwa style ya Bahatisha Ndulute .

Sisi yetu macho tu


Hili la Frank Lampard nakinzana nalo kwa hoja zote ni bora amrudishe Raphael Benitez vinginevyo mwakani Uefa na Europa zote tunakosa na tuweza hata kukaribia kushuka daraja kama sio kushuka kabisa!
 
Baada ya Sarri kutua Juventus
3a1ba1c5167c3e5b11f72ad0bfb25c5b.jpeg
 
Back
Top Bottom