Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Tayari mkuuKama itatokea, tutarudi enzi za AVB
maana sioni maajabu ya lampard japo anaipenda timu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari mkuuKama itatokea, tutarudi enzi za AVB
maana sioni maajabu ya lampard japo anaipenda timu.
Dah ngoja tumwone.Tayari mkuu
Leo amepigwa na timu ya ndondoYetu macho
Aiseee !Leo amepigwa na timu ya ndondo
Mkuu Lampard ni puto, hapa tulicheza kamali na dalili zinaonesha tumeliwa.kumekucha !
Mkuu Lampard ni puto, hapa tulicheza kamali na dalili zinaonesha tumeliwa.
Atafukuzwa mapema kama mbwa koko
Hata hao waliokuwa nje sijui wagonjwa ,ni afadhali walioanza, William ,ana maajabu gan ,labda rudigerHakuna kitu kama hicho wachezaji wote wagonjwa unataka yeye afanye nini
Yale Yale ya Masai ole sendeka
Hahaha una imani na lampard, sio?Acha uoga sisi siyo wa kwanza kufungwa wala wa mwisho
Ligi bado mbichi hii
😆😆😆😆😆Tofauti ni kuwa lampard ndio kwanza anajifunza. Wkt ole ameshapata uzoefu badala ya kufanya vibaya msim uliopita