Chelsea kumpa timu Frank Lampard ni sawa na kucheza kamari , uwezo wake ni wa mashaka

Huyu Abramovich nafikiri amechanganyikiwa, tangu ainunue Chelsea hadi leo ameshaajiri makocha karibia 15 hivi.

Sasa ameangukia kwa Lampard ambaye kama Solksjaer wa Manchester United on paper, hawana uwezo wa kuzinoa timu kubwa kama walizokabidhiwa. Time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…