Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Ibak hvyo au apigwe itapendeza zaidChelsea kachomoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibak hvyo au apigwe itapendeza zaidChelsea kachomoa
Ngapi ngapi matokeo huko!!??Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia.
Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea.
Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3.
Wale mashabiki wa timu nyingine mlioanza kuicheka Chelsea kaeni chonjo, its time for Potter Ball
Yaan match ya kwanza tu 🤣🤣🤣🤣dahhh mkosi gani huuJao Felix kala umeme 😂😂
1-1Ngapi ngapi matokeo huko!!??
Chelsea wasipomfukuza huyu kocha watapigwa sanaYaan match ya kwanza tu 🤣🤣🤣🤣dahhh mkosi gani huu
Hana siku nyingiii hapo, bora angebaki BrightonChelsea wasipomfukuza huyu kocha watapigwa sana
Chelsea hawakupaswa kumfukuza tuchelHana siku nyingiii hapo, bora angebaki Brighton
Washapigwa goli la ushindi, mikeka leo imechanika mingi sanaMgongwe tu hakuna namna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ImeshindikanaMwana anatuzoom tu anangojea comeback aje atucheke
Kwahiyo ndo mmeanza ligi rasmi au mmeanzia pale mlipoishia?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia.
Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea.
Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3.
Wale mashabiki wa timu nyingine mlioanza kuicheka Chelsea kaeni chonjo, it's time for Potter Ball.
Ngoja kwanza nipumzikeKwahiyo ndo mmeanza ligi rasmi au mmeanzia pale mlipoishia?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hilo trelaa tu 🤣🤣🤣🤣🤣Duuh nimechoka mimi
Hatari [emoji119]Wataalam tulijua tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2478723