Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kweli Aiseeee !! wewe ni kiboko !Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia.
Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea.
Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3.
Wale mashabiki wa timu nyingine mlioanza kuicheka Chelsea kaeni chonjo, it's time for Potter Ball.
Na akashinda njaa kweliHisia zinanituma kabisa leo Chelsea anashinda, lakini ngoja muda uongee
Hah haha haaaWakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia.