Chelsea wanakwama wapi?

Chelsea wanakwama wapi?

Kante is the best DM in the world currently. Amebeba kombe la dunia juzi tu akicheza DM. Amebeba EPL mara 2 mfululizo juzi tu akicheza kama DM. Amekuwa mchezaji bora wa EPL mwaka juzi akiwa DM. From nowhere amekuja chizi mmoja na Sarriball anataka kumbadirisha Kante awe AM.
Ngoja niwambie kitu kuhusu coaching. Kocha mzuri akipewa timu kazi yake ya kwanza ni kuaccess strengths na weakness za kila mchezaji na kufanya decision ya position ya kucheza. Inawezekana panapobidi kumbadirisha mchezaji position yake lakini siyo kila mchezaji ni wa kubarisha position. Wachezaji wengi wanaobadirishwa position ni wale AVERAGE players. Mfano, Victor Moses alibadirishwa position na Conte na akafanya vizuri sana. Cezar Azpi pia aliwahi kubadirishwa position na Morinho akawa anacheza beki wa kushoto na alifanya vizuri sana.All these were average players. Kante kwa role yake pale chelsea u can not do what sari did. Hakuna mtu anaechukia haya maamuzi ya sari kama kocha wa ufaransa Didier deschamps. Anyway Sari akifukuzwa kazi kajitakia mwenyewe. Chelsea ina kikosi kizuri sana
 
Mkuu analysis yako ni nzuri,lakini umeongelea scenario moja tu"Wakati wanamiliki mpira". The opposite is worse for Gorginho kucheza deep midfield. hawezi kuintercept mipira, hana speed , hana physic ya kupambana na wahuni wa EPL. YOUR THINKING IS THE SAME AS SARRI'S AND ITS THE ONE COSTING CHELSEA CURRENTLY. Mpira siyo kuposses tu, inatakuwa kuwa na plan ya kurecover the ball when you loose it.

Mkuu tatizo lakutumiliki mpira vya kutosha ndio sababu ya hiyo opposite kuwa tatizo. Kama Chelsea wataweza kumiliki mpira kama anavyotaka mwalimu wao basi asilimia 70 ya mashambulizi hayatakuepo. Jaribu kutizama vizuri mechi za mwanzo wa ligi ambao chelsea walikua wafikia mpaka pasi 900 per game, Halafu tizama ni goal atamp ngapi wanazofanyiwa. Possession ndio njia moja kuu ya kuzuia mashambulizi. Mkuu itizame Barca ya miaka ya nyuma. Practical walikua na very week defense lakini je ilikua ikifungika? Walikua wanaongoza kuwa na defense bora Europe kistatistics japo kua ukiwatizama nyuma wanaokoana kabisa kama dhaifu ukilinganisha na timu kubwa nyengine.
Mkuu umewahi muona Andrea Pirlo akicheza uwanjani? umewahi muona akifanya tackles? alikua ana speed? Physic je? na mbona alikua akicheza position hiyo hiyo ya Jorginho. au hukumbuki mkuu? Different ay Pirlo na Jorginho ni kuwa Pirlo alikua akicheza na Gatusso na De Rossi na Jorginho anacheza na Kante ambaye kazi yake hasa uwanjani inamshinda. Kamtizame Jorginho alivyokua Napoli anavocheza na Allan na hata Mtizame Italy anavocheza na Veratti.
Kante ndio Chelsea biggest weakness kwenye Chelsea midfield. Lakini bado Waingereza na mashabiki wao wanashindwa kufahamu.
Kante anatakiwa awe karibu na Jorginho timu inapopoteza mipira yeye ndie anatakiwa afanya covering la eneo lote lakati. lakini mpaka kufiki ukaona Jorginho ana pelekwa mbio ujue ni kuwa Kante hayupo kwenye position. Kante kazi yake ni kunyanga'nya hajabadilishiwa majukumu na Sarri, Ila kabidilishwa eneo tu lakuyafanyia yale majukumu yake.
 
Hayo ni matokeo ya kushabikia mpira wa Premier League tu bila ya kuwa unachungulia na ligi nyengine. Mkuu uwanjani kila mtu anapangiwa na kazi yake. Kwa mfumo wa kocha aliekupo timu inahitaji iwe na deep lying player maker. Sasa huyo kante hata akicheza hapo chini mnapotaka hatoweza kupatendea haki. Atashindwa kuposes mpira inavotakilikana. na ndio mana anachezeshwa Box to Box. na sio attacking kama munavosema. Tatizo lilokuepo ni kua Kante anashindwa kuicheza vizuri hiyo position mpya aliyopangwa na hilo ndio moja ya tatizo kuu la timu. Sasa hilo sio kosa La Sarri wala Jorginho. Tatizo lipo kwa Kante kashindwa kuadopt position mpya na timu iankosa mchezaji mwengine wa kucheza ile position.
Mnaanza kuuliza na assist kiukweli mumelewa na typical british mentality. Jorginho sio kazi yake kutoa assist, assist zinatakiwa zitolewe na Hazard, Pedro, Wilium. Deep lying Midfield kazi yake ku poses game na kucool tempo ya game. pamoja na kuwasplier mipira mawinga na mafull back ili wapate kufanya mashambulizi. sasa ikiwa hao mawinga wanacheza ovyo yeye kahusika na nini? Chelsea wanajitahidi sana kwenye position dominating na hiyo ndio kazi kuu ya Jorginho. Masuala ya mashambulizi ni kazi za wengine amabao kiulweli wanashindwa kuzifanya kazi zao vizuri.
Acha aendelee kupigika bournmoutht 4,city 6......umeandika mengiiii Ila hujui wachezaji wenu
 
Kante is the best DM in the world currently. Amebeba kombe la dunia juzi tu akicheza DM. Amebeba EPL mara 2 mfululizo juzi tu akicheza kama DM. Amekuwa mchezaji bora wa EPL mwaka juzi akiwa DM. From nowhere amekuja chizi mmoja na Sarriball anataka kumbadirisha Kante awe AM.
Ngoja niwambie kitu kuhusu coaching. Kocha mzuri akipewa timu kazi yake ya kwanza ni kuaccess strengths na weakness za kila mchezaji na kufanya decision ya position ya kucheza. Inawezekana panapobidi kumbadirisha mchezaji position yake lakini siyo kila mchezaji ni wa kubarisha position. Wachezaji wengi wanaobadirishwa position ni wale AVERAGE players. Mfano, Victor Moses alibadirishwa position na Conte na akafanya vizuri sana. Cezar Azpi pia aliwahi kubadirishwa position na Morinho akawa anacheza beki wa kushoto na alifanya vizuri sana.All these were average players. Kante kwa role yake pale chelsea u can not do what sari did. Hakuna mtu anaechukia haya maamuzi ya sari kama kocha wa ufaransa Didier deschamps. Anyway Sari akifukuzwa kazi kajitakia mwenyewe. Chelsea ina kikosi kizuri sana

Mpira hauchezwi hivo ulaya mkuu. Mpira unachezwa kwa mfumo na kila kocha anamfumo wake. Ndiomana kocha halazimisha kupata wachezaji wanaofiti kwenye mfumo wake.
Halafu jamani hivyo vichwa vyenu vizima? Kante Chelsea hachezi AM , anaecheza AM ni Kovaci msiropokwe tu. Na mfumo wa Sarri sasa hivi Hauna position ya DM sasa hiyo DM akaicheze wapi?

Umeshau kujalizia Hata last seasons Chelsea walimaliza wakiwa wa5 kwenye ligi na Kante akiwa kama DM pia.

Halafu na muache kuropokwa ovyo ati Best Dm, Hivi umewahi muona Veratti akicheza Mpira?
 
Back
Top Bottom