Kante is the best DM in the world currently. Amebeba kombe la dunia juzi tu akicheza DM. Amebeba EPL mara 2 mfululizo juzi tu akicheza kama DM. Amekuwa mchezaji bora wa EPL mwaka juzi akiwa DM. From nowhere amekuja chizi mmoja na Sarriball anataka kumbadirisha Kante awe AM.
Ngoja niwambie kitu kuhusu coaching. Kocha mzuri akipewa timu kazi yake ya kwanza ni kuaccess strengths na weakness za kila mchezaji na kufanya decision ya position ya kucheza. Inawezekana panapobidi kumbadirisha mchezaji position yake lakini siyo kila mchezaji ni wa kubarisha position. Wachezaji wengi wanaobadirishwa position ni wale AVERAGE players. Mfano, Victor Moses alibadirishwa position na Conte na akafanya vizuri sana. Cezar Azpi pia aliwahi kubadirishwa position na Morinho akawa anacheza beki wa kushoto na alifanya vizuri sana.All these were average players. Kante kwa role yake pale chelsea u can not do what sari did. Hakuna mtu anaechukia haya maamuzi ya sari kama kocha wa ufaransa Didier deschamps. Anyway Sari akifukuzwa kazi kajitakia mwenyewe. Chelsea ina kikosi kizuri sana