KERO Chemba zilizo wazi Posta (Dar) zifunikwe, zinasababisha ajali

KERO Chemba zilizo wazi Posta (Dar) zifunikwe, zinasababisha ajali

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest

Maeneo ya Posta – Dar es Salaam chemba nyingi hazina mifuniko, juzi nimeshuhudia Bodaboda kaingia kwenye chemba wote na abiria waliumia.

Tukio lingine imekuwa zamu yangu, nimepigisha kichwa kwenye kioo🥲, ni hapa Samora karibu na Kituo cha Mafuta.
 
Back
Top Bottom