Mimi nimejaribu ku theorise tu, mbona Warussi walijaribu kuchimba shimo refu sana kuliko watu wote duniani!!, waliacha baada ya funds nk, kuwaishia.Ukiona hadi leo wazungu wanaoenda hadi anga za mbali na kugundua almost kila kitu lakini hawajalifanyia kazi wazo lako, basi tu kuna kitu kimepungua huko ghorofani kwako, nacho si kingine, lack of critical thoughts which can be productive and useful to the world π citizens
Haiwezekani.Tufanye imewezekana kutoboa na hakuna joto, ni nini kitatokea kwenye hilo jiwe pindi likidondoshwa kupitia hilo shimo ???
Mkuu mi mmoja wa vilaza wa physics ambayo niliipenda Ila yenyewe haikunipenda nikaamua nibobee kwenye uchumi ambao ulinipenda mi sikuupenda.... yote alisababisha Mchwampaka, nilitaka kumshushia neno zito Ila kwa kuwa amendei niseme tu RIP motherfucker....Angalau kidogo umejaribu, nimefurahi.π€£
Katika physics (theoretical) assumptions huwezi kuepuka.Haiwezekani......
Na ni ngumu kuassume chochote.
Lakini mfano tukisema ulichowaza kitokee maanake jiwe litaishia kati.
Force of gravity inapull towards the center where it is Maximum.
Mkuu itakuwa hivi.Hicho kitu kitatumbukia hadi kati kati ya Dunia na kupitiliza lakini hakitatokea nje ya Dunia bali kitavutwa tena nyuma na kupitiliza tena katikati ya Dunia kwa kilomita kadhaa na kuvutwa tena nyuma na kila kinapovutwa K.e (kinetic energy ) na P.e (Potential energy) vinapungua hadi kufikia Zero Joules.Ikifikia hatua hii hicho kitu kitaacha kutembea na kitabakia katikati ya Dunia.Assumption ni kuwa hicho kitu hakitayayushwa na joto la Dunia.
Hakitafika upande wa pili... Kuna?sehemu qmbapo ni zero gravity... So kitaelea tu hapo hapo....Wakuu wapenzi wa Physics ni matumaini yangu hamjambo.
Niende moja kwa moja kwenye swali...
Kadiri chuma kitakavyokua kinaelekea katikati mwa dunia weight yake ndivyo itazidi kupungua, paka kufikia 0 when r=0, hakuna SHM hapoWe simply call the phenomenon SHM---- simple harmonic motion.
That's the body is going to excute SHM before coming to rest at the core after its energies become exhaust.
Kudos.