Godson97
Member
- Jun 20, 2021
- 85
- 95
Unachokiuliza practically hakiwezekani. Ili kujibu swali lako inabidi ueleze unakusudia kugundua nini ili ufanye assumptions kueliminate baadhi ya factors.
Kuna vitu hivi
i, Geothermal gradient
ii, Gravitation field
iii, States of matter ( solid rocky crust, liquid mantle, and solid irony-Nickel core.
- Kati ya hivyo vitu hapo juu wewe unataka ugundue nini?
- Huwezi kutoboa tundu kwenye kimiminika (mantle)
- Huwezi pitisha chuma au jiwe kwenye joto kali, melting point ya chuma ni around 1500 C hivyo chuma chako kitayeyukia upper mantle tu.
- At the center of the earth gravitation field ni 0 hivyo chuma hakiwezi tokea upande wa pili wa shimo
Umejibu kama physicist[emoji3577]