Chemsha bongo kwa wapenzi wa Fizikia (Physics)


Umejibu kama physicist[emoji3577]
 
Umeongea pumba hadi basi sasa kisa mzungu hajafanya ndo hakina maana
 
Kwanza naweka nadharia kuwa nitafanikiwa kutoboa shimo nalotaka toka nilipo hadi upande wa pili wa tufe la dunia. Na kwamba shimo litakuwa imara bila kucollapse kutoka na na joto popote kwenye shimo hilo.


1. Sasa kama nitatumbukiza jiwe kitakachotokea jiwe litakwenda hadi katikati na kubaki katikati ya kipendo kwa sababu gravity itakuwa zero hivyo halitaweza kwenda zaidi bali litabaki linaelea.

2. Jiwe linaweza kuyeyuka njiani kutokana na joto kali la magma ya dunia na mabaki yake kwenda kunasa tena kwenye radius kutokana na kukosekana kwa gravity
 
Hicho chuma au shimo itabidi liwe na urefu wa km 13000!!
Mashimo tu ya migodini yenye km 12,hutumika nondo na rasilimali za kutosha sasa fikilia tunnel la km 13000!
It is mexhanicsly difficult
 
Aisee!! Alikufanyaje huyo bwana 🤣🤣🤣🤣
 
Hicho chuma au shimo itabidi liwe na urefu wa km 13000!!
Mashimo tu ya migodini yenye km 12,hutumika nondo na rasilimali za kutosha sasa fikilia tunnel la km 13000!
It is mexhanicsly difficult


Assumptions zilizopo ili shimo hilo lipatikane ni pamoja na Kutokuwepo na joto na uimara wa side wall ili shimo lisi collapse, kinachobakia ni gravitational force tu, sasa ninachouliza ni action ya ya hiyo force kwenye hiyo object itakayodondoshwa kupitia upande mmoja wa hilo tundu.

Ninachofanya ni just theorising on what will happen without the actual any existing complexities.
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…