Chemsha bongo MMU....

David Beckham pia. mkuu vipi ya kukwaruza. hailipi?

mkuu kwanza huyo afrodenzi
hajiwezi mno kwa mbana pua maarufu
wa bongofleva,
anaitwa ali kiba....
halafu anakwambia anataka sauti kama ya godwin gonde
anafurahisha watu hapa lol
 
mkuu kwanza huyo afrodenzi hajiwezi mno kwa mbana pua maarufuwa bongofleva,anaitwa ali kiba....halafu anakwambia anataka sauti kama ya godwin gondeanafurahisha watu hapa lol
Sauti yako lege lege sana ehhhhh?!Pole bana!
 
mkuu kwanza huyo afrodenzi
hajiwezi mno kwa mbana pua maarufu
wa bongofleva,
anaitwa ali kiba....
halafu anakwambia anataka sauti kama ya godwin gonde
anafurahisha watu hapa lol

Mkuu umenikumbusha. Nina ushahidi wa kimaandishi wa Afrodensi kuwa anampenda Marlow ile mbaya. Mpaka akaulizia kama yupo single. lol.
 
Mkuu umenikumbusha. Nina ushahidi wa kimaandishi wa Afrodensi kuwa anampenda Marlow ile mbaya. Mpaka akaulizia kama yupo single. lol.
Kumpenda Marlow sio tafsiri ya kupenda sauti ya Marlow!
 
Umejuaje umefeli?!Kwani yako na ya mchumba zinaendana?!

aaahhh, sijui bana...huwa anacheka nikiongea...sasa sijui ni hii sauti yangu 'kama paka kabanwa na mlango?'

usiwasikie hao.
waongo mno..
mike tyson ana sauti ya kike...
na anapendwa mno na mabinti

'asavali' bana,...nilishapanga kwenda nunua tangawizi nichubue koo!
 
aaahhh, sijui bana...huwa anacheka nikiongea...sasa sijui ni hii sauti yangu 'kama paka kabanwa na mlango?''asavali' bana,...nilishapanga kwenda nunua tangawizi nichubue koo!
Lolzzzz....kweli hizo ni dalili za kutaka unyamaze sababu sauti inaharibu kila kitu!!!
 
Sijasema kuwa anampenda Marlow kwa sababu ya sauti yake.
AD kasifia sauti nzito....mmeanzisha kesi kwamba haiwezi kua maana anampenda sana Alikiba na Marlow....mna ushahidi kwamba anawapenda hawa...yote hii inapelekea kuamini kwamba mnaamini kuwapenda kwake kunamaanisha sauti zao pia!Which ofcourse is possible kwasababu hawakp kwenye mahusiano so it doesn‘t really matter.Ila inapokuja kwa mtu ambae anahitaji kufurahia maongezi nae na maongezi yenyewe yapo kila siku basi sauti nzito ndo anayopendelea!!
 
Lolzzzz....kweli hizo ni dalili za kutaka unyamaze sababu sauti inaharibu kila kitu!!!

dahhh,....sasa nikinyamaza ndio tutawasiliana nae vipi? ...sign languages si ndio atakufa mbavu?...
halafu nawe unan'cheka badala kunipa ushauri jinsi ya kurekebisha hii 'squeaky voice,'..aaaargghh!
Hivi hao 60% wavutiwa na nijifanyie usaili hapa?
 
dahhh,....sasa nikinyamaza ndio tutawasiliana nae vipi? ...sign languages si ndio atakufa mbavu?...halafu nawe unan'cheka badala kunipa ushauri jinsi ya kurekebisha hii 'squeaky voice,'..aaaargghh!Hivi hao 60% wavutiwa na nijifanyie usaili hapa?
Heheheh...ngoja nikuandalie mazoezi...ila mpaka nikamilishe plan ya mapinduzi naomba ujitahidi kutoongea sana!!Hao 60% mfuko..sura...mwili....etc
 
Reactions: Mbu
Lizzy naomba ruhsa Mbu anipigie niievaluate sauti yake.... Bado mko na hii thread tu?
 
Reactions: Mbu
Lizzy naomba ruhsa Mbu anipigie niievaluate sauti yake.... Bado mko na hii thread tu?
Naaaah we nikitaka majibu nna uhakika utampendelea alafu asipate tiba anayohitaji!!Hiii tunaenda nayo mpaka tuwajue wakaka gani wa JF wana sauti za kututoa nyuma ya avatar...lolzz...pochi imepitwa na wakati!!
 
Lizzy naomba ruhsa Mbu anipigie niievaluate sauti yake.... Bado mko na hii thread tu?

...HA H AHHA!,,....acha utundu huo!

Naaaah we nikitaka majibu nna uhakika utampendelea alafu asipate tiba anayohitaji!!Hiii tunaenda nayo mpaka tuwajue wakaka gani wa JF wana sauti za kututoa nyuma ya avatar...lolzz...pochi imepitwa na wakati!!

mnh, wewe ushaanza kun'cheka kabla hata sauti hujanisikia...hamtonisikia kamwe!
 
...HA H AHHA!,,....acha utundu huo!mnh, wewe ushaanza kun'cheka kabla hata sauti hujanisikia...hamtonisikia kamwe!
Kubali msaada wangu watu wawe wanakuomba usiache kuongea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…