Kubali msaada wangu watu wawe wanakuomba usiache kuongea....Heheheh...ngoja nikuandalie mazoezi...ila mpaka nikamilishe plan ya mapinduzi naomba ujitahidi kutoongea sana!!Hao 60% mfuko..sura...mwili....etc
Hahah eti ntampendelea ah wapi! Tuko pamoja kujitolea kulboresha maslahi yetu jamani!! HahNaaaah we nikitaka majibu nna uhakika utampendelea alafu asipate tiba anayohitaji!!Hiii tunaenda nayo mpaka tuwajue wakaka gani wa JF wana sauti za kututoa nyuma ya avatar...lolzz...pochi imepitwa na wakati!!
Hahahaha....mapinduzi/mabadiliko ya sauti bwana....hayo mengine hayawezi kua offered hadharani namna hii!...lol,...halafu nilikusoma kwa papara, mwenyewe akikusoma hapo kwenye red patakuwa hapatoshi mbona?Nitanuniwa mie!
Hahah eti ntampendelea ah wapi! Tuko pamoja kujitolea kulboresha maslahi yetu jamani!! Hah
Hahahaha....mapinduzi/mabadiliko ya sauti bwana....hayo mengine hayawezi kua offered hadharani namna hii!
Ah Mbu huyo 'Soulmate' wako atakuwa na gubu yaani ashuarensi yote ulompatia hadharani bado hasijiamini!!! Hebu akikununia nshasign application yangu niifill hiyo vacancy....Lizzy hebu endelea kuchokoza hapa ili mtu asuse...lol,...halafu nilikusoma kwa papara, mwenyewe akikusoma hapo kwenye red patakuwa hapatoshi mbona?Nitanuniwa mie!
Afadhali.... Ndo unajiandaa kunipigia eh? Hivi Lizzy, Afro Denzi hajasema kwa nini sauti kuu hupendwa? Aau huwa wanaimba hawa? Maana naikumbuka ile nyimbo ya Teri Kasam ya kihindi... Ilinifanya niamini wahindi wakipendana hawaachani!!...Mwj1..."koh-cough-kohh-cough-....aheimmm!!"...narekebisha koo kwanza...lol!
Ah Mbu huyo 'Soulmate' wako atakuwa na gubu yaani ashuarensi yote ulompatia hadharani bado hasijiamini!!! Hebu akikununia nshasign application yangu niifill hiyo vacancy....Lizzy hebu endelea kuchokoza hapa ili mtu asuse
wivu upi?
mike tyson ana sauti laini
but muulize naomi campbell mwanaume yupi anaemkuna duniani
atakujibu
Hahahhh basi Mpenzi umeshinda lol wataka uniamshie tena sokomoko la Babu Kifimbocheza?lol!....haya bana.nadhani kuna haja ya kuifufua ile sredi ya Bbau Aspirin ya"ulikuwa wapi siku zote!"...
Hahahhh basi Mpenzi umeshinda lol wataka uniamshie tena sokomoko la Babu Kifimbocheza?
Hahahahhhh mie niko 'neutral' hahahh kama ni rede basi mi 'mchangia kote' piga tu mwaya....hutojuta...mwj1 kabla sijakupigia nambie nawe umo kwenye hawa 40% -(wapenda sauti)- au 60% waliobakia na vigezo vingine?
mkuu kwanza huyo afrodenzi
hajiwezi mno kwa mbana pua maarufu
wa bongofleva,
anaitwa ali kiba....
halafu anakwambia anataka sauti kama ya godwin gonde
anafurahisha watu hapa lol
Kwahiyo mabubu wamebakiwa na 60% tu ya wasichana???!!!!!!
tukitoa % ya wanaongalia sura, % ya pesa na % ya personality.... tunabaki na........
Mhhh kwahiyo bubu asiye na personality, pesa na mwenye sura mbaya kweli ana chance yoyote kwenye hii dating Game???
AD kasifia sauti nzito....mmeanzisha kesi kwamba haiwezi kua maana anampenda sana Alikiba na Marlow....mna ushahidi kwamba anawapenda hawa...yote hii inapelekea kuamini kwamba mnaamini kuwapenda kwake kunamaanisha sauti zao pia!Which ofcourse is possible kwasababu hawakp kwenye mahusiano so it doesnt really matter.Ila inapokuja kwa mtu ambae anahitaji kufurahia maongezi nae na maongezi yenyewe yapo kila siku basi sauti nzito ndo anayopendelea!!
Afadhali.... Ndo unajiandaa kunipigia eh? Hivi Lizzy, Afro Denzi hajasema kwa nini sauti kuu hupendwa? Aau huwa wanaimba hawa? Maana naikumbuka ile nyimbo ya Teri Kasam ya kihindi... Ilinifanya niamini wahindi wakipendana hawaachani!!
Heeh! Its my 1st tym kukuona Afro... Unaandika thread ndefu duh! Umenifurahisa uliposena hata sura mbaya wanachance kwako teh! IMAGINE MTU KAMA SULTAN MASOOD ANAKUTOKEA WE UTAMPA?kwa hiyo unajaribu kusema 60% si nyingi au??( kwa mabubu)Kila mtu anaangalia sura I think "hiyo ndio 1st impression "unamwangalia mtu kabla hata hujachukua hatua..kwa hiyo hapo hakuna % iliyotoka..na wapo wanao angalia pesa.nani big percentage tu ... lakinihii ni mara ya kwanza kabisa wakati wataka kumdate mtu hajui hata una nini mfukoni kwa hiyo mambo ya pesa ni baadaya yeye kukufahamu.. au labda tayari anakujua wewetajiri example .. Hugh Hefner..Na personality ya mtu utaanza kuifahamuendapo ataongea nawe..kwa hiyo bubu asiye na personality, pesa na mwenye sura mbaya kweli YES ana chance..Kwani kibaya kwako ni kizuri kwa mwingine..thanx and good night..
Jibu tayari dear..