Chemsha bongo MMU....

Chemsha bongo MMU....

Kubali msaada wangu watu wawe wanakuomba usiache kuongea....
Heheheh...ngoja nikuandalie mazoezi...ila mpaka nikamilishe plan ya mapinduzi naomba ujitahidi kutoongea sana!!Hao 60% mfuko..sura...mwili....etc

...lol,...halafu nilikusoma kwa papara, mwenyewe akikusoma hapo kwenye red patakuwa hapatoshi mbona?
Nitanuniwa mie!
 
Naaaah we nikitaka majibu nna uhakika utampendelea alafu asipate tiba anayohitaji!!Hiii tunaenda nayo mpaka tuwajue wakaka gani wa JF wana sauti za kututoa nyuma ya avatar...lolzz...pochi imepitwa na wakati!!
Hahah eti ntampendelea ah wapi! Tuko pamoja kujitolea kulboresha maslahi yetu jamani!! Hah
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...lol,...halafu nilikusoma kwa papara, mwenyewe akikusoma hapo kwenye red patakuwa hapatoshi mbona?Nitanuniwa mie!
Hahahaha....mapinduzi/mabadiliko ya sauti bwana....hayo mengine hayawezi kua offered hadharani namna hii!
 
Hahah eti ntampendelea ah wapi! Tuko pamoja kujitolea kulboresha maslahi yetu jamani!! Hah

...Mwj1..."koh-cough-kohh-cough-....aheimmm!!"...narekebisha koo kwanza...lol!


Hahahaha....mapinduzi/mabadiliko ya sauti bwana....hayo mengine hayawezi kua offered hadharani namna hii!

...haya Lizzy,....
Funny-Voice.icon.gif
tuanze kozi...
 
...lol,...halafu nilikusoma kwa papara, mwenyewe akikusoma hapo kwenye red patakuwa hapatoshi mbona?Nitanuniwa mie!
Ah Mbu huyo 'Soulmate' wako atakuwa na gubu yaani ashuarensi yote ulompatia hadharani bado hasijiamini!!! Hebu akikununia nshasign application yangu niifill hiyo vacancy....Lizzy hebu endelea kuchokoza hapa ili mtu asuse
 
...Mwj1..."koh-cough-kohh-cough-....aheimmm!!"...narekebisha koo kwanza...lol!
Afadhali.... Ndo unajiandaa kunipigia eh? Hivi Lizzy, Afro Denzi hajasema kwa nini sauti kuu hupendwa? Aau huwa wanaimba hawa? Maana naikumbuka ile nyimbo ya Teri Kasam ya kihindi... Ilinifanya niamini wahindi wakipendana hawaachani!!
 
Ah Mbu huyo 'Soulmate' wako atakuwa na gubu yaani ashuarensi yote ulompatia hadharani bado hasijiamini!!! Hebu akikununia nshasign application yangu niifill hiyo vacancy....Lizzy hebu endelea kuchokoza hapa ili mtu asuse

lol!....haya bana.

nadhani kuna haja ya kuifufua ile sredi ya Bbau Aspirin ya
"ulikuwa wapi siku zote!"...

 
lol!....haya bana.nadhani kuna haja ya kuifufua ile sredi ya Bbau Aspirin ya"ulikuwa wapi siku zote!"...
Hahahhh basi Mpenzi umeshinda lol wataka uniamshie tena sokomoko la Babu Kifimbocheza?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...mwj1 kabla sijakupigia nambie nawe umo kwenye hawa 40% -(wapenda sauti)- au 60% waliobakia na vigezo vingine?
Hahahahhhh mie niko 'neutral' hahahh kama ni rede basi mi 'mchangia kote' piga tu mwaya....hutojuta
 
mkuu kwanza huyo afrodenzi
hajiwezi mno kwa mbana pua maarufu
wa bongofleva,
anaitwa ali kiba....

halafu anakwambia anataka sauti kama ya godwin gonde
anafurahisha watu hapa lol

yes nawapenda waimbaji wa Bongo Flavor..
na ninawa support sana... nina heshimu
vipaji vyao, sababu ni kazi zao pia..
na wimbaji ni kitu ambacho si kila
mtu anaweza kuna wengine
hapa tunapenda kusikiliza..

Kusema nampenda alikiba au Marlow namaanisha
nawapenda wao wanavyoonekana "Physically"
na jinsi wanavyo ji "present" mbele ya washabiki zao
na ninapenda ujembe wanatoa kwenye nyimbo zao .....
 
Mkuu umenikumbusha. Nina ushahidi wa kimaandishi wa Afrodensi kuwa anampenda Marlow ile mbaya. Mpaka akaulizia kama yupo single. lol.

teh teh teh teh teh
lolz.. embu soma hapo juu
nilipo mjibu The Boss...
 
Kwahiyo mabubu wamebakiwa na 60% tu ya wasichana???!!!!!!

tukitoa % ya wanaongalia sura, % ya pesa na % ya personality.... tunabaki na........

Mhhh kwahiyo bubu asiye na personality, pesa na mwenye sura mbaya kweli ana chance yoyote kwenye hii dating Game???

kwa hiyo unajaribu kusema 60% si nyingi au??( kwa mabubu)
Kila mtu anaangalia sura I think "hiyo ndio 1st impression "
unamwangalia mtu kabla hata hujachukua hatua..
kwa hiyo hapo hakuna % iliyotoka..


na wapo wanao angalia pesa.
nani big percentage tu ... lakini
hii ni mara ya kwanza kabisa wakati
wataka kumdate mtu hajui hata una nini
mfukoni kwa hiyo mambo ya pesa ni baada
ya yeye kukufahamu.. au labda tayari anakujua wewe
tajiri example .. Hugh Hefner..

Na personality ya mtu utaanza kuifahamu
endapo ataongea nawe..

kwa hiyo bubu asiye na personality, pesa na
mwenye sura mbaya kweli YES ana chance..

Kwani kibaya kwako ni kizuri kwa mwingine..

thanx and good night..
 
AD kasifia sauti nzito....mmeanzisha kesi kwamba haiwezi kua maana anampenda sana Alikiba na Marlow....mna ushahidi kwamba anawapenda hawa...yote hii inapelekea kuamini kwamba mnaamini kuwapenda kwake kunamaanisha sauti zao pia!Which ofcourse is possible kwasababu hawakp kwenye mahusiano so it doesn‘t really matter.Ila inapokuja kwa mtu ambae anahitaji kufurahia maongezi nae na maongezi yenyewe yapo kila siku basi sauti nzito ndo anayopendelea!!

Sante mamake
kwa kuwa muelewa...
 
Afadhali.... Ndo unajiandaa kunipigia eh? Hivi Lizzy, Afro Denzi hajasema kwa nini sauti kuu hupendwa? Aau huwa wanaimba hawa? Maana naikumbuka ile nyimbo ya Teri Kasam ya kihindi... Ilinifanya niamini wahindi wakipendana hawaachani!!

Binafsi na dhani sauti nzito hupendwa
sababu yaonyesha "u wanaume " na ni
sexy, hot etc..
sintopenda kuwa na mwanaume mwenye
sauti karibu na yangu kabisa... najisikia "safe" nikiwa
na mtu mwenye deep voice..
na kila mtu ni tofauti..
na hiyo sauti nzito yatakiwa iendane na mwili wa mtu pia...
nina uhakika wengine kwenye hilo kundi la 40% wanasababu zao
zingene au similar na zangu..
za hapo juu ni zangu tuu


Asante..
 
kwa hiyo unajaribu kusema 60% si nyingi au??( kwa mabubu)Kila mtu anaangalia sura I think "hiyo ndio 1st impression "unamwangalia mtu kabla hata hujachukua hatua..kwa hiyo hapo hakuna % iliyotoka..na wapo wanao angalia pesa.nani big percentage tu ... lakinihii ni mara ya kwanza kabisa wakati wataka kumdate mtu hajui hata una nini mfukoni kwa hiyo mambo ya pesa ni baadaya yeye kukufahamu.. au labda tayari anakujua wewetajiri example .. Hugh Hefner..Na personality ya mtu utaanza kuifahamuendapo ataongea nawe..kwa hiyo bubu asiye na personality, pesa na mwenye sura mbaya kweli YES ana chance..Kwani kibaya kwako ni kizuri kwa mwingine..thanx and good night..
Heeh! Its my 1st tym kukuona Afro... Unaandika thread ndefu duh! Umenifurahisa uliposena hata sura mbaya wanachance kwako teh! IMAGINE MTU KAMA SULTAN MASOOD ANAKUTOKEA WE UTAMPA?
 
Eh AD so umeongeza kigezo kingine? Sauti iendane na mwili/umbo la mwenye nayo! Au hiyo ni kwako tu mpenz!?
 
Back
Top Bottom