Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha! Afro hujatulia. Mi pia nipo kwenye asilimia 40. Sipendi mwanaume mbana pua.Hahahaha lolz Umenusa nusa jibu..Dahhh umenichekesha dear.
hahahaha! Mimi ya wamakonde. Samahanini wamakonde.what about lafudhi?..nachukia mwanaume mwenye lafudhi ya kichaga hadi basi.. samahanini wachaga msinitoe macho...
Hahhaha....yani we acha tu ...kweli bahati yangu haikimbiliki!!Alafu we kiSWEET naomba hapo kwenye ki- kabla ya Lizzy ubadilishe iwe li-...!Embu kione ki-Lizzy kinavochekelea lol! Alafu ndo ulishaanza 'mshiriki huyu anajitoa'.... dah mtoto una bahati wewe!!
Yako sauti bana....Mmhhhhyangu macho lolz
halafu ukute ndo mbishi sasa na lafudhi ile weee...Embu waache kaka zangu....lafudhi yao ni priceless!!
DuuuuuhhhYou put me off now ...lolzzIn other hand "DEEP " voice muda wowote..Staki kuwa na mwanaume ndani anaongeaKama rafiki yangu wa kike..mmhh
hahahaha! Afro hujatulia. Mi pia nipo kwenye asilimia 40. Sipendi mwanaume mbana pua.
Hahhaha....yani we acha tu ...kweli bahati yangu haikimbiliki!!Alafu we kiSWEET naomba hapo kwenye ki- kabla ya Lizzy ubadilishe iwe li-...!
halafu ukute ndo mbishi sasa na lafudhi ile weee...
Mi nasinzia.....sikiliza hapo anaposema "girl i'm here for you, all those time and night when you just hurt me, i just run out with another fellah , baby i knew about it. i just didn't care........ etc.. kuanzia dakika hii 3.36...."hiyo sauti hunipeleka mbali saana ... mmmmmhhhhBoyz II Men - End Of The Road YouTube - ‪Boyz II Men - End Of The Road‬‏
mi nadhani wanadada hawajui wanaangalia na kupenda nini... maana the usuaaly fall in love with poeple who dont have what they want