Chemsha bongo MMU....

Embu kione ki-Lizzy kinavochekelea lol! Alafu ndo ulishaanza 'mshiriki huyu anajitoa'.... dah mtoto una bahati wewe!!
Hahhaha....yani we acha tu ...kweli bahati yangu haikimbiliki!!Alafu we kiSWEET naomba hapo kwenye ki- kabla ya Lizzy ubadilishe iwe li-...!
 
DuuuuuhhhYou put me off now ...lolzzIn other hand "DEEP " voice muda wowote..Staki kuwa na mwanaume ndani anaongeaKama rafiki yangu wa kike..mmhh

There you go.

 
Last edited by a moderator:
hahahaha! Afro hujatulia. Mi pia nipo kwenye asilimia 40. Sipendi mwanaume mbana pua.

hahhahaahah lol
eti mbana pua lol
haipendezi pale mnapotupiana
maneno au mnapo peana maneno matamu
mwenzio wa kiume anasauti nyororooooooo kuliko wewe
hahahaha lol
 
Hahhaha....yani we acha tu ...kweli bahati yangu haikimbiliki!!Alafu we kiSWEET naomba hapo kwenye ki- kabla ya Lizzy ubadilishe iwe li-...!

halafu ukute ndo mbishi sasa na lafudhi ile weee...


msameheni tu jamani
duhhhhh....
maana nawaogopa nyie ndugu zangu
wa Kichaga mkianzaga mmmhh
 
sikiliza hapo anaposema "girl i'm here for you,
all those time and night when you just hurt me,
i just run out with another fellah , baby i knew about it.
i just didn't care........ etc.. kuanzia dakika hii 3.36....
"

hiyo sauti hunipeleka mbali saana ... mmmmmhhhh


Boyz II Men - End Of The Road
http://www.youtube.com/watch?v=w7aBGh9tJWg
 
mi nadhani wanadada hawajui wanaangalia na kupenda nini... maana the usuaaly fall in love with poeple who dont have what they want

tatizo ni hupati ambae ana kila upendacho
kwa hiyo at the end of the day unachukua tu
ambae yuko karibia karibi na unachotafuta ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…