...Mwj1..."koh-cough-kohh-cough-....aheimmm!!"...narekebisha koo kwanza...lol!
[/QUOTE]
Ah Mbu huyo 'Soulmate' wako atakuwa na gubu yaani ashuarensi yote ulompatia hadharani bado hasijiamini!!! Hebu akikununia nshasign application yangu niifill hiyo vacancy....Lizzy hebu endelea kuchokoza hapa ili mtu asuse
lol!....haya bana.
nadhani kuna haja ya kuifufua ile sredi ya Bbau Aspirin ya
"ulikuwa wapi siku zote!"...
Hahahhh basi Mpenzi umeshinda lol wataka uniamshie tena sokomoko la Babu Kifimbocheza?
Mwenendo wenu nilikuwa naufuatilia kwa makini..........na taratibu nlianza kuridhia mpaka hapa ulipoharibu.
Moskwito kaanze upya.........amelikoroga huyu na hasira zangu zimeibuka upya!
Warning: AM WATCHING YOUR STEPS!