Chemsha bongo MMU....

Chemsha bongo MMU....

Lizzy naomba ruhsa Mbu anipigie niievaluate sauti yake.... Bado mko na hii thread tu?


...HA H AHHA!,,....acha utundu huo


...Mwj1..."koh-cough-kohh-cough-....aheimmm!!"...narekebisha koo kwanza...lol!


[/QUOTE]

Ah Mbu huyo 'Soulmate' wako atakuwa na gubu yaani ashuarensi yote ulompatia hadharani bado hasijiamini!!! Hebu akikununia nshasign application yangu niifill hiyo vacancy....Lizzy hebu endelea kuchokoza hapa ili mtu asuse



lol!....haya bana.

nadhani kuna haja ya kuifufua ile sredi ya Bbau Aspirin ya
"ulikuwa wapi siku zote!"...


Hahahhh basi Mpenzi umeshinda lol wataka uniamshie tena sokomoko la Babu Kifimbocheza?
Mwenendo wenu nilikuwa naufuatilia kwa makini..........na taratibu nlianza kuridhia mpaka hapa ulipoharibu.

Moskwito kaanze upya.........amelikoroga huyu na hasira zangu zimeibuka upya!

Warning: AM WATCHING YOUR STEPS!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...Mwj1..."koh-cough-kohh-cough-....aheimmm!!"...narekebisha koo kwanza...lol![/QUOTE] Mwenendo wenu nilikuwa naufuatilia kwa makini..........na taratibu nlianza kuridhia mpaka hapa ulipoharibu.Moskwito kaanze upya.........amelikoroga huyu na hasira zangu zimeibuka upya!Warning: AM WATCHING YOUR STEPS!
HaAa Babu kwan shng ngapi? MahariAD nimekupata mamii
 
we AD una mambo weye.....haya bana endeleza hilo libeneke.....leo sauti kesho?????
 
Mi nnayo...embu njoo bana!Unless hutaki mambo matamtam zaidi ya jana!

haya nakuja
ila kuna kitu ntakwambia
halafu utanisaidia kumkamua mtu..
kama hutaki siji mmmmhhh
 
we AD una mambo weye.....haya bana endeleza hilo libeneke.....leo sauti kesho?????

Kesho ni siku mpya
ya kesho utayaona tu usijali teh teh teh
tusimalize utamu wote leo lolz
 
Back
Top Bottom