DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
☆☆Tupunguze Stress kwanza ¤☆☆☆
Angalia Video kwa makini sana Na ukipata Jibu niambie hapo Chini hiki ni kipimo cha IQ na utambuzi wa haraka na ueleze umepataje jibu
Kila Nikikumbuka Jibu la Hilo swali lilivyopatikana Namuangalia Huyo mzee nacheka Sana maana Alivyoona wenzake wamepata ndo alazidi kuchanganyikiwa
Mshindi Wa siku
SIku ya IDDI na Pasaka Nitakupa zawadi na RUKSA KUIDAI hiyo zawadi

Hakuna kipimo cha iq hii michezo ya watoto kama vile why is 6 afraid of 7 (Kwanini 6 anamuogopa 7), mtu ana jibu cause 7 ate 9 (7 alimla 8)
Ate - kula, matamshi yanafanana na 8 (eight)
28 = twenty ate (20 wamekula)
30 cows in a field, 20 ate chickens, how many left (ngombe 30 shambani, 20 walikula vifaranga, wangapi wamebaki)
Hapo ambao hawakula vifaranga ni 10.