CHEMSHA BONGO: Nina Uhakika watakaopata Hawatazidi hata Kumi, "KIPIMO CHA IQ"

CHEMSHA BONGO: Nina Uhakika watakaopata Hawatazidi hata Kumi, "KIPIMO CHA IQ"

☆☆Tupunguze Stress kwanza ¤☆☆☆

Angalia Video kwa makini sana Na ukipata Jibu niambie hapo Chini hiki ni kipimo cha IQ na utambuzi wa haraka na ueleze umepataje jibu

View attachment 2945316

Kila Nikikumbuka Jibu la Hilo swali lilivyopatikana Namuangalia Huyo mzee nacheka Sana maana Alivyoona wenzake wamepata ndo alazidi kuchanganyikiwa

Mshindi Wa siku
SIku ya IDDI na Pasaka Nitakupa zawadi na RUKSA KUIDAI hiyo zawadi
Ukimsikiliza muuliza swali utagundua hizo text kwenye vids zina misslead watu. 28 isomeke 20 ate chickens.....
Jibu la kusema 10 ni sahihi. yaani ng'ombe 10 hawakula vyuku
 
☆☆Tupunguze Stress kwanza ¤☆☆☆

Angalia Video kwa makini sana Na ukipata Jibu niambie hapo Chini hiki ni kipimo cha IQ na utambuzi wa haraka na ueleze umepataje jibu

View attachment 2945316

Kila Nikikumbuka Jibu la Hilo swali lilivyopatikana Namuangalia Huyo mzee nacheka Sana maana Alivyoona wenzake wamepata ndo alazidi kuchanganyikiwa

Mshindi Wa siku
SIku ya IDDI na Pasaka Nitakupa zawadi na RUKSA KUIDAI hiyo zawadi
Baada ya kufikiria saana naona hili swali lina majibu mawili

1. 2 cows didn't hii ni word play chicken iliyotumika hapo haimaanishi kuku inamaanisha kuogopa/afraid kama 28 chickens inamaanisha waliogopa 28 na wakabaki wawili ambao hawakuogopa.

2. 10 cows maana ukitamka "28 chickens" ina sound kama "20 ate chickens " hii inamaanisha 10 cows didn't.
 
Back
Top Bottom