>= =maswali ya namna hii yako mengi kwenye jukwaa hili na majibu yalishawahi kutolewa.Kwa ufupi jumlisha ulicho kitumia kwanza kisha ulichobakiwa nacho
9700+100+100 kisha 100 uliyonayo mkononi.
asante kaka we unajua bwanaakama hujui jibu si unyamaze? umelazimishwa kuchangia? unaleta hasira zako hapa kisa hujui!!!!
25/5 =14
14x5=20+5=25
14+14+14+14+14=25
:. 14
14
14
14
+14=25
Nguo inauzwa sh. 10,000 we huna pesa, ukaamua kukopa kwa dada yako sh. 5000 na kwa kaka sh. 5000 ukapata sh. 10,000. Ukaenda kugalaliza na kununua kwa sh. 9,700 ukarudishiwa sh. 300. Ukaamua kupunguza deni. Ukatoa sh. 100 kwa kaka na 100 kwa dada, ukabaki na 100. Hivyo ikawa una deni kwa kaka 4900 na dada anadai 4900, ukijumlisha ya kaka 4900 na dada 4900 unapata 9800 Ukiongeza na ile 100 ya kwako, inakua 9900. Je, 100 imekwenda wapi?
HAMNA KITU NAONA JIBU LIMESHINDIKANA.nipeni mji!teh teh!!
aiseelet me try.... chukulia deni = - 4,800 unaposema ukiongeza na 100 unamaani + (+100) so - 4,800 + 100 = - 4,700 which is the actual debit!!